BOXED IPHONE 4s LOCKED ON SALE

BOXED IPHONE 4s LOCKED ON SALE

Ceo98

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
74
Reaction score
25
Hiyo phone imekuja ikiwa locked.haina ubovu wowote,kama kuna mteja yupo serious kununua tutaweza kwenda mpka sapna akain unlock na kuhakikisha mwenyewe kuwa simu ni nzima kabisaa!!! Ku unlock peke yake ni $120..ipo kwenye condition nzuri kabisa kama mpya tu
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1372408171218.jpg
    uploadfromtaptalk1372408171218.jpg
    59.3 KB · Views: 106
Na hii ipo tu ikiwa locked mwezi sasa..!!
 
eti unachanganya watu ni Iphone 4 au 4s??
 
mbona box ni 4 while weye wasema 4s
 
How much

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Iyo ni IPHONE 4s sema box bi tofauti tu maana NILIAGIZIA KUTOKA EBAY.COM so wakatuma hivyo,
Ngoja nita upload baadhi ya pics ya simu yenyewe kama mtu anajua tofauti kati ya 4 na 4s basi ata notice
 
Iyo ni IPHONE 4s sema box bi tofauti tu maana NILIAGIZIA KUTOKA EBAY.COM so wakatuma hivyo,
Ngoja nita upload baadhi ya pics ya simu yenyewe kama mtu anajua tofauti kati ya 4 na 4s basi ata notice

Acha kujiumauma, unaonekana tapeli. Sema unauza shilingi ngapi usipoteze muda wetu.
 
Back
Top Bottom