BOX BODY vs SCANIA MENDE

BOX BODY vs SCANIA MENDE

Yeah, upo sawa kabisa,
Ndio maana sisi tunakimbia hilo game
Samahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpa
 
Samahani mkuu,izo Roli za mchina mpya tsh. Ngapi na zinadumu kwa muda gani kabla ya kuzikata screpa,maana nasikia zikichokaga hazina namna zaidi yakuuza au kuzichinja screpa
Bii yake nasikia inakumbikia 180 M
 
Mkuu FAW na zile TATA zimewapa changamoto gani?
*Zinakuja zikiwa mpya(0km)
*Zina nguvu sana, hivyo; zinabeba
mzigo mwingi/mkubwa
ukilinganisha na mende

Kwa kuwa zinakuja mpya kabisa inachukua muda mrefu kuhitaji matengenzo makubwa hususani engine nk.
 
Back
Top Bottom