Bowling, Salsa & Zumba

Bowling, Salsa & Zumba

BelindaJacob

Platinum Member
Joined
Nov 24, 2008
Posts
6,494
Reaction score
4,078
Hello wakuu,

Naomba mnisaidie kunitajia maeneo jijini Dar-es-salaam ambapo naweza fanya bowling...halafu na maeneo ya Salsa&Zumba pia Merengue dances..ikiwezekana na mawasiliano ya hizo sehemu!

Asanteni!
 
You are a bowler,interesting!!!.Hako ka mchezo ka bowling nilijaribu pale Sea Cliff Hotel muda mrefu kidogo nadhani bado katakuwepo.Kagumu kweli nilitoka kapa kabisa.
 
nadhani tbc huwa wana msimu wa mshindano ya zumba, merengue na salsa na huwa wana specialized trainers
 
You are a bowler,interesting!!!.Hako ka mchezo ka bowling nilijaribu pale Sea Cliff Hotel muda mrefu kidogo nadhani bado katakuwepo.Kagumu kweli nilitoka kapa kabisa.

Yes, I am...so into this sport!! Nitacheki na hiyo hoteli kama bado ipo..Try siku nyingine, mzuri kweli!!

nadhani tbc huwa wana msimu wa mshindano ya zumba, merengue na salsa na huwa wana specialized trainers

Asante mkuu, nitacheki nao kuwasikilizia...
 
Back
Top Bottom