Bueno
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 34,610
- 59,607
Nnapo flow
Kama slow motion
Ni -soo utadhani abortion
Natokea Lake Victoria
Flow zaidi ya Indian Ocean
Na-make Hit Songs
Bila msaada wa Promotion
Huku na-spit Mother Tongue
Maiki nai-grab kama Vouchers
Nipo deep zaidi ya Bruce Lee
Beef sifagilii
Mie Eeii wao Ziiiii
Mashairi yanawapiga zaidi ya
Bruce Lee
Wananing'ong'a Mchana kutwa
Usiku wanakesha wananisoma
Eti naungaga tu mistari mikali
Kunogesha Ngoma
Wakati ya kwao waisifiayo mikali
Sijawahi kuiona
Tena na Tena
Wakipata Zero wataitwa
Selfish
Wawe Wema
Wanaponi-Miss
Mi ntatenda zaidi ya Cedric
Na-roll zaidi ya Chris
Adui naweza nikamgeuza
Redhill
Na-punch zaidi ya Box Ring
Ma-MC ni km Dust Bin
Wako Fake km Wedding Ring
Ya Witney na Bobby
Check ninavyolipuka kama
Wafuasi wa Bin Laden
Check ninavyoibuka
Again and Again
Sijisifii kuwafunika
MC naheshimika
Utii unahitajika
Sisikii ninachoandika
Wanaingia Mitini
Kama Tarzan
Ninachoheshimu Mimi
Ni yale maji ya Hamsini ya AZAM
Ninapo-bounce nawe
Bounce Back
Back
Kama Tennis Ball
Kama una Bang
Bang
Usikike zaidi ya Gun Shot
Wananiita KING
Sababu nina-drop Punches
Kwenye Boxing Rings
Naweza nikamkimbia TYSON
Kama slow motion
Ni -soo utadhani abortion
Natokea Lake Victoria
Flow zaidi ya Indian Ocean
Na-make Hit Songs
Bila msaada wa Promotion
Huku na-spit Mother Tongue
Maiki nai-grab kama Vouchers
Nipo deep zaidi ya Bruce Lee
Beef sifagilii
Mie Eeii wao Ziiiii
Mashairi yanawapiga zaidi ya
Bruce Lee
Wananing'ong'a Mchana kutwa
Usiku wanakesha wananisoma
Eti naungaga tu mistari mikali
Kunogesha Ngoma
Wakati ya kwao waisifiayo mikali
Sijawahi kuiona
Tena na Tena
Wakipata Zero wataitwa
Selfish
Wawe Wema
Wanaponi-Miss
Mi ntatenda zaidi ya Cedric
Na-roll zaidi ya Chris
Adui naweza nikamgeuza
Redhill
Na-punch zaidi ya Box Ring
Ma-MC ni km Dust Bin
Wako Fake km Wedding Ring
Ya Witney na Bobby
Check ninavyolipuka kama
Wafuasi wa Bin Laden
Check ninavyoibuka
Again and Again
Sijisifii kuwafunika
MC naheshimika
Utii unahitajika
Sisikii ninachoandika
Wanaingia Mitini
Kama Tarzan
Ninachoheshimu Mimi
Ni yale maji ya Hamsini ya AZAM
Ninapo-bounce nawe
Bounce Back
Back
Kama Tennis Ball
Kama una Bang
Bang
Usikike zaidi ya Gun Shot
Wananiita KING
Sababu nina-drop Punches
Kwenye Boxing Rings
Naweza nikamkimbia TYSON