Sikubali kubaguliwa...nakubali kuambiwa ukweli hata kama unauma.Hwo gives a shit bro,Trampo Trampa Trumpu Trompo vyovyote niandike vizuri hali yakuwa ananitukana?nikusema wewe unafurahi kubaguliwa sio chief!
Kubadilika kwetu ni kuepuka kuwa watumwa wa watawala,Lugha aliyotumia ni Kali mno lkn alichokiongea hakiko mbali sana na ukwel. WE HAVE TO CHANGE NIGGERS.
Unajua asili yake?Huyu Rais wa Botswana si mchezo.
Huyu ni tusiKuna mwenzake huku kaona maneno ya ushawishi yameisha kaamua kutumia pesa
Soma uzuri....au hujui kingereza,sawa hata kama Botswana haikumwita balozi wake nyumbani "What is your point"?Nimesoma hiyo barua, sijaona mahali wamemrudisha Balozi wao nyumbani
Korea kusini ndo dawa yake Mbona hatibui kule apate dawa yake, Trump yaani simpendi kama sura yake ilivyo yaani imekaa kiukorofi tuKaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika
Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Wao ndiyo wachafu zaidi... Mambo yote mabaya na mabalaa huanzia kwao, wanayaleta Africa kama sehemu ya majaribio...Sisi ni wachafu
Full stop
Hata tusipoambiwa dunia inajua,na wenye akili wanajua,
Na wanaofanya tutukanwe ni viongozi wetu,
DAh, kuita Nchi za Africa ni Shithole countries si jambo jema. Na pia kujiita sisi wenyewe na wajinga na wapumbavu si jambo jema pia. Tujitafakari.Bara la giza.
Tumia akili kidogo mkuuKaka haya sio ya kucheka,Nafikiri kama Nchi za Kiafrika zitaungana na kuwa na msimamo mmoja wa kuwaita mabalozi wake nyumbani,Trump ataheshimu na hataorudia tena kuwatukana Wafrika
Mbona Trump kasalimu amri kwa Korea Kaskazini,hivi sasa anataka mazungumzo,baada Trump kuitisha Korea Kaskazini;haikutishika,imesimama na msimamo wake ule ule,Trump kaufyata
Kama.....................Sisi ni wachafu
Full stop
Hata tusipoambiwa dunia inajua,na wenye akili wanajua,
Na wanaofanya tutukanwe ni viongozi wetu,
Huyu Rais wa Botswana si mchezo.
Trump ni Rais pekee anayeweza kusimama na kuongea kuhusu kitu fulani kama kilivyo bila ya unafiki. Trump hamung'unyi maneno wala hayapaki maneno yake asali. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Huyu ni Rais muwazi mno kupata kuwahi kutokea. Binafsi namkubali sana huyu jamaa, hana unafiki kabisa ndani yake.
Mfano mzuri ni aliposema Africa is a shit-hole; ni kweli kabisa hajakosea hata kidogo, /QUOTE]
Mkuu unachoongea ni sahihi kabisa na wala hakuna hata chembe ya shaka.
Lakini wasiwasi wangu ni kwanini na Mara chache huwa anasimamia kauli zake anazosema? Mana hata hili nimesikia BBC hapa kuwa anasema hayo Matamshi hakuyatoa kama hivyo yanavyosambazwa?
Kabisa kaka,Kwani uongo ...
Kama mnatengenezewa Vyoo kwa hisani ya Watu wa Marekani
Ni lazima tukubali kwanza kuwa watu weusi ni Wajinga ili tuanzie hapo mikakati ya kuondoa huo ujinga.DAh, kuita Nchi za Africa ni Shithole countries si jambo jema. Na pia kujiita sisi wenyewe na wajinga na wapumbavu si jambo jema pia. Tujitafakari.