Hwo gives a shit bro,Trampo Trampa Trumpu Trompo vyovyote niandike vizuri hali yakuwa ananitukana?nikusema wewe unafurahi kubaguliwa sio chief!Trampo [emoji117] Trump
Kwani ni nani aliyesema ni uchafu wa kuoga?
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]namuunga mkono trump maana mambo mengine hakuna namna...we fikili kuna watu hata mitaji ya laki moja tu, wanakosa lakini bajeti ya kuchaugua upya madiwani na wabunge wanao muunga mkono mtukufu ipo sasa kwa mambo kama haya trump asemeje sasa....hizi pesa za marudio ya uchaguzi wangepewa wajane na yatima si tungekuwa mbali sana
HakunaaaaaaaNaomba majibu. Hivi africans tuna jambo lipi ambalo tumeligundua na tunaweza tukatunisha kifua mbele ya jamii za kimataifa kwamba sisi waafrika ni wanzilishi wa jambo hili
Sisi ni wachafuTrump anajulikana kwa tabia zake, kauli zake na mambo yake ya kukurupuka ovyo...
Atakalo amka nalo ndiyo hilo hilo...
Cc: mahondaw
Mkuu naona umikubali matokeo. Shithole?!? Hapana. Huyu babu amezidi sasa. Hivi hawezi kulogwa huyu?!? Wazee wetu wa kiafrika watumie ujuzi wao kutetea utu wetu, huyu ni mtu wa kushikishwa adabu. Ikiwezekana akiamka ajikute yupo kijiji fulani huko Togo ndo atatia adabu.mbona mwaka 2015 mliitwa MALOFA mkanywea tena hapahapa nyumbani kwenu.Je Trump mtamfanya nini.Africans should be recolonizes for another 100 years aisee ile tujirekebishe.
Ni mim SHITHOLE (DODOMA)
Kwa sasa Zanzibar
Rais wako ana mipaka ya uongozi inayoishia humu humu nchini, kauli ya Trump inawakilisha Marekani, nchi ambayo inatoa mwongozo wa kimaadili wa kidunia.Siwezi kumshutumu Trump kwa kutumia lugha za kuudhi wakati rais wangu ni aina ya watu wanaotoa lugha za kuudhi.
Kuliko hata wahindi.Kulilo wachina ???
Uchafu ni lugha y picha ...anamaanisha hawana akili za kutosha...!Kulilo wachina ???
Ana tofaut ipi na rais wa TanganyikaNiliwahi kuandika juu ya uhayawani wa Donald Trump siku za nyuma, kaka mkubwa Nyani Ngabu akanijibu kifedhuli sana.
Leo mwendawazimu huyu karudia maneno yale yale ya dharau kwa watu masikini. Wale watanzania wenzetu wenye mbwembwe za USA baby sijui wanatafakari kwa kina maana ya maneno ya Trump au wao mambo ni poa tu!.
Ukwel mchungu...kama mpaka leo tunaamin albino dili..zero brain anaongoza watu..tukiambiwa tuame mabonden hatutak...ebola sisi..maralia sisi..ujinga sisi..
Bara la giza.Hivi sie tuko bara gani vile?
Trump ni Rais pekee anayeweza kusimama na kuongea kuhusu kitu fulani kama kilivyo bila ya unafiki. Trump hamung'unyi maneno wala hayapaki maneno yake asali. Kwake yeye nyeusi ni nyeusi na nyeupe ni nyeupe. Huyu ni Rais muwazi mno kupata kuwahi kutokea. Binafsi namkubali sana huyu jamaa, hana unafiki kabisa ndani yake.Trump inawezekana Wasaidizi wake wakimzingua anawapa shit za kutosha sana huko off mic mana si kwa Maneno haya ya kuuzi anayotoa!!!
Unashindwa kusimamia elimu ambayo ndo chanzo cha ustaarabu na kujitambua,Atasema anavyo taka kwasababu anajua hatuna jeuri ya kufanya lolote. Sie kazi yetu ni kubeba bakuli kila tunapo muona mzungu. Waafrika tunaendekeza njaa na siku zote omba omba anadharaulika.