Botswana waichana live USA

Kweli mkuu tunaangaika na vitu vikumbwa kama SGR wakati vitu muhimu vya afya kama maji public Toilets zenye maji...... tunashidwa mtu akitusema tuna kasilika eti jiji kama Dar kukosa maji ya wakika aibu kumbwa kwa taifa letu
 
Ila hili suala watu wanagundua helicopter afu majitu yenye degree uchwara yanaleta fitina ni maajab mengine ya watanzania
 
Kweli mkuu tunaangaika na vitu vikumbwa kama SGR wakati vitu muhimu vya afya kama maji public Toilets zenye maji...... tunashidwa mtu akitusema tuna kasilika eti jiji kama Dar kukosa maji ya wakika aibu kumbwa kwa taifa letu
Kweli mkuu...ni aibu aibu aibu. Na jiji linaendelea kutanuka.
 
Kuna wa2 hum uwezo wao kufikir ni mdogo eti m2 anaamua kusapoti Trump kwa sabab ya Africa kushindwa kutatua matatizo yetu...ya kisiasa na kiuchumi
He man is talking abt color n some1 stupid 'ni kweli africa ni wachafu' hata siwezi andika vizuri tena wanaomsapot trump kw A MAneno yake
Wote ni watumwa....
M2 anadhalilisha rangi yako bado unakenua meno...
Tangu lini mtu akatae asili yake et kwa sabab kwa sabab ya matatizo ya ndani....
Kwan hao wazungu hawana matatizo....
Kama umeshindwa kutambua umuhim wa rangi I MEAN BLACK....mtafute MLK,2PAC NA MALCOM X
 
Na kauli za mtukufu wa chato vipi? Trump ni lichochezi na namsukuma je?
 
Magu yeye anaongea kwa vitendo, wakija huku walipe kodi zetu, hawawezi waondoke. Na kwao siendi hadi natoka madarakani, wakitaka kuja wanakaribishwa, wasipotaka wasije tu sijawaita. Sio wengine ilikuwa kutwa US. Hapa kwetu Trump ata blow, jamaa anajielewa aisee.
 
Jpm anaweza, sema tu Trump hajaingia 18 zake.
 
Acha aseme hakuna mtu aliye mkamilifu hata yeye mbona ni chizi na watu tunamwangalia tu ...na hakuna anauebisha kua wamarekani wamebugi kuchagua chizi ....Nguruwe yule hawezi kutuita sisi shit hole....yeye ni ass wipe manina
 
Yaani hakuna mtu anakera kama trump kama jina lake lilivyo huu ni uchafu kweli kweli ...hope ataondoka madarakani soon
 
Kwa hiyo ndio mana bongo wamekuja na kauli ya usitupe taka ovyo tanzania nzima ukikamatwa faini 100000
 
Waafrika ni wachafu. MTU yupo Radhi amtoe roho mpinzani kisa anampinga
 
Mimi ukweli wa moyoni naikubali na naunga mkono kauli ya Trump. Trump doesn't sugarcoat a thing. Hana uswahili yule mzee sio mnafiki kabisa anakupa za uso tu. Kuna mambo ya hovyo sana yanafanyika Africa (socially, economically, politically).. sioni hata kama tumeonewa na ndo mana huyo Rais wako na wengine wa Africa hawawez kunyanyua mdomo maana wanaujua ukweli.
 
Tukubaliane jambo moja: Huenda "Shithole Countries" hazipo; "Shithole Leaders" je, nao hawapo?
 
Tukubaliane jambo moja: Huenda "Shithole Countries" hazipo; "Shithole Leaders" je, nao hawapo?
 
- Wewe mtu Zanzibar watu wapige kura mshindi anajulikana halafu Rais anatangazwa mngine.
- Huko Congo mda wa Rais umepita halafu hataki kutoka madarakani.
- Huko Burundi mda wa Rais umepita anabadili katiba
- Tupo hapa karne ya 21 bado mtu unashuhudia mgao wa umeme masaa 12 Tanzania hii
- Pesa za serikali badala zilete maendeleo zinanunua madiwani na wabunge
- Huko Libya watu walikuwa wanaishi vizur wakapindua serikali yao sasa imewashukia kuzimu wanauana tu wenyewe kwa wenyewe.
- Plus other shits zilizopo kila mahali..

Mimi siwez kuwa mnafiki na kuukataa ukweli.

First we need to agree that African countries are shitholes, ndo tupange how we can get out of that. Vinginevo naona mnajaribu kumchukia Trump kwa kusema ukweli. Period!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…