Delegate
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 331
- 203
Tunakuja kubanana hapo Tanzania baada ya mambo kwenda kombo huku Botswana
tangu mwaka jana mwanzoni idadi ya wageni wanaoishi kihalali hapa Botswana imepungua kwa aslimia 50
serikali ya Botswana imetoa masharti magumu kwa wageni kuomba permit za kazi au biashara au ku renew permit kwa wale waliokuwa wakiishi hapa tangu zamani
kwa kweli haitawezekana tena kwa wageni kuishi Botswana
wahindi na wachina waliokuwa wamezagaa kila kona ya nchi hii wametoweka ghafla baada ya kubanwa mbavu na makaratasi ta kuishi hapa
wengi wa wageni waishio hapa wanakimbilia Tanzania hatujui kuna nini huko
tunarejea home ndugu zangu tujenge nchi yetu pamoja