Sijakuelewa?Me natumia kondomu vipi twende Botswana....
Kwani yeye anakwenda kulima?View attachment 721134kabla hujaenda huko pitia taarifa za SADC uone ukame unavyo watafuna huko Botswana
Usidanganyike na magorofa huko mjini utaishia kuwa teja
Yaan nipo maeneo fulan ya moro, heka ya kulima kukodi elfu 50 tuHivi huko naweza kufuga kuku,nguruwe,samaki na nng'ombe kweli???
Bora nibaki bongo tu...ardhi ya kumwaga
Huyo atakuwa yuko either jela, au karest in peaceYule mdau aliyekuwa anajiita "Shibe kijijini" aliaga hapa kwenda South kupitia Botswana anapatikana? Maana aliishia mrejesho wa safari yake katika mpaka wa Botswana na South Africa...angekuwa msaada kwako japo sehemu ya kuanzia.
Wapi iyo mkuu ....funguka wadau wachangamkie fursaYaan nipo maeneo fulan ya moro, heka ya kulima kukodi elfu 50 tu
Sasa hapo laki 5 tayari una hekari 10 za kuanzia
Tunaotaka kwenda Botswana hilo tulijue wote View attachment 733071
Tatizo kilimo cha bongo ni biashara kichaaYaan nipo maeneo fulan ya moro, heka ya kulima kukodi elfu 50 tu
Sasa hapo laki 5 tayari una hekari 10 za kuanzia
Tupia link mzee babaTunaotaka kwenda Botswana hilo tulijue wote View attachment 733071
Tunaomba namba ya hilo group la whatsapp la botswanaTunaotaka kwenda Botswana hilo tulijue wote View attachment 733071
Msongo wa usafirishaji wa binadamu kutoka sehemu moja kwenda nyingine nchi moja kwenda nyingine kama biashara kwa sababu ambazo wanazijua wao huko watokako ikiwamo maswala yaTranslate in Swahili wote waelewe
unamaanisha humu jamii forum au?Ungeomba humu Mchanganuo wa Biashara kwa capital ya 10m, nadhani ungepata mawazo mazuri.
Kila lakheri boss!!!!Kama wazo lako ni kuhamia Botswana kwaajili ya kwenda kutafuta maisha..... Basi nioni kama kuna sababu ama ulazima was kutafuta mtu wa kuungana nae kwenye Safari yako hiyo.
Kubwa ambalo pengine ungeomba wadau wawakusaidie hapa ni:-
1. Kujua njia zipi ambazo unaweza kusitumia ili ufanikiwe pasipo kuongia matatani ikiwa utaamua kwenda Botswana.
2. Kujua miji ipi ambayo ukienda inaweza inawa kwako ni rahisi kuishi na kupata mafanikio kwa ushirikiano wa wenyeji wa kule.
3. Kujua aina za changamoto na tabia za waSwana, ili kwako ikuwe rahisi kuendana nao kimaadili nk....