Botswana imeniingia Akilini

Mwenzio Shibe kijijini alishakufa, shauri yako! Bakini tu hapa hapa tupamabane!!
 
kuna watoto wazuriiii
kuna ngoma hukooo weee!!nilienda kuangalia gemu ya yanga na rollers ila Gaborone ni mji mzuri hadi nilijisikia aibu na dar yangu!!
 
Hii nchi ngum sana kwa kwel, Nina MD lakin sifurahii maisha najarib nipate masters maisha yakiendelea ivi nahama nchi.
 
hatari sana.ukiwa na buku tu.
inaonekana unakula mzigo.
 
Hata mimi sikuhizi nimeanza kua na mawazo ya kuhama nchi
mimi sihami ng'o,tatizo watanzania hampendi kujisomea na kujua mambo mengi, ni kweli Hali ni ngumu sana, Kama mnayo mitaji jifunzeni forex, Mimi kwa mtaji wa $50 tu naingiza $20 per day nyingi Sana Hizo, nyie hameni tu, tatizo mnakalili biashara, mnawaza kufungua maduka tu
 
Tupe nasi huo mchongo ndugu
 
Masharti kama unatafuta Mke!!!
Wenzio wanapanga safari wanaondoka zao, don't make the life to be complicated.....
Unaweza ukafika huko yakakufika, na Mvuta Bange, mvuta Sigara, mlevi na mpenda Mademu akakukaribisha Getoni kwake!
 
Mkuu Nakishauri kama ni kazi ya Kinyozi nenda Msumbiji. Maputo mkuu saloon za kunyoa nywele ni kama hakuna tu. Ninacho kueleza nimeshuhudia kwa macho yangu nilishindwa kipiga picha hiyo saloon niliokwenda niliogopa pengine wangenielewa vibaya. Masaa kadhaa natafuta saloon nilipokuja kuiona dah .
 
Msumbiji wanatumia lugha gani?
 
Nimefanya ninavyo jua nikapata RAFIKI ambae ni mwenyeji wa Botswana Ila yeye amezaliwa Burundi kaniambia hivyo!!!
 
Tunaotaka kwenda Botswana hilo tulijue wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…