unawezaje kuwakimbiza wawekezaji..wamekujengea uwanja wa mpira..wewe??mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
wizara ya mambo ndani na tic sijui wanalionaje hili!
na kuna kipindi fulani waliongelea hili la wachina kufanya umachinga dar lakini bado sijaona impact yoyote kwenye hilo.swala hapa ni sisi wenyewe kuwa creative na tusiwe wavivu wakujituma ni hayo tu..mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!(wawekezaji hao)Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!
Hawa si wawekezaji. Ni walanguzi. Uwanja wa mpira ulikuwa government to government. Wanaelewana wao wenyewe jinsi watakavyolipana. Botswana got it just right.unawezaje kuwakimbiza wawekezaji..wamekujengea uwanja wa mpira..wewe??
Hawa si wawekezaji. Ni walanguzi. Uwanja wa mpira ulikuwa government to government. Wanaelewana wao wenyewe jinsi watakavyolipana. Botswana got it just right.
Sikonge, kwa hiyo tunafanyiana hisani eeh? (kulipa fadhila)
Kuna tofauti kati ya kufanya HISANI (kwangu mie nachukulia ni hiari) na kulazimishwa. Nimeshasoma sehemu mataifa makubwa hata ya Ulaya, wanalazimishwa na Mchina kucheza jinsi anavyotaka yeye.
Ninachosema mie ni kuwa hawa watu ni wa ku-HANDLE WITH CARE.
Hapo kwenye RED Sio kweli, mkuu!
Mchina anafanya usanii kwenye currency manipulations ya Yuan, and that's it. Linapokuja suala la immigration, work permits, employment mmarekani na hata EU hawataki mchezo kabisaa, hapo hata mimi nawapa big ups sababu wako vry strict na huo ujinga. Ndio maana kila kukicha melfu ya wachina wanakamatwa wamejificha kwenye makontena ya meli wakitaka kuzamia US na wanarudishwa.
Mkuu bado majibu yako ni ya kujitungia. Mchina hulazimisha ujinga wake kwa nchi mafala na zenye njaa. US na EU hawataki huo ujinga wa wamachinga wa Kariakoo na wauza mitumba wa kichina. Again linapokuja suala la immigration na employment, US na EU hawa-entertain uppuzi mnaofanyiwa Third world. Hiyo deal ya Airbus kuwa assemble China soma hapo chini utapata majibu. Research majibu yako kabla hujaongea. AsanteMkuu, unapojadili, jadili katika 3D na siyo 2D.
Ninachosema hapa si hayo unayoyasema TU ila kuna mengine ya aina nyingi tu ambayo watu wa West wanalazimishwa.
Nikupe mfano mdogo tu:
Airbus zinaungiwa Ufaransa peke yake na kidogo German kama sikosei. Lile Pipa linatoka German, Mabawa yanatoka UK na Spain kama sikosei na Engine zinatoka UK. Hapo walishamaliza na hawahitaji mtu yeyote kutaka kubadilisha. Mchina kaja na pendekezo kuwa atanunua Airbus zaidi ya 100 ila tu, Airbus wajenge kiwanda China. Eu wakabisha ila walipoona ni ndege ngapi watauza kulinganisha na Boeng, wakaona hili deal hatuliachi. Wameshakubali kuweka kiwanda cha kwanza cha ndege za Airbus nje ya EU. Huo ndiyo ubabe wa Mchina.
Kwa nchi kama EU, USA hawahitaji kupeleka Machinga huko. Huko wanaenda na deal za kufa mtu na siyo kudeal na machinga. Hizi za Machinga naona watakuwa wana deal Wabunge na Mabalozi. Ila ukiwanyanyasa basi ujuwe Dragon akishaamka, atakumeza na mtoto wake mkali.
Huo ndio ujinga ambao the West hawawezi kuu-entertainmtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!
mtm, wana permit had za kuuza chipsi na yeboyebo na maua kkoo!
(wawekezaji hao)
Wizara ya mambo ndani na TIC sijui wanalionaje hili!
Mkuu bado majibu yako ni ya kujitungia. Mchina hulazimisha ujinga wake kwa nchi mafala na zenye njaa. US na EU hawataki huo ujinga wa wamachinga wa Kariakoo na wauza mitumba wa kichina. Again linapokuja suala la immigration na employment, US na EU hawa-entertain uppuzi mnaofanyiwa Third world. Hiyo deal ya Airbus kuwa assemble China soma hapo chini utapata majibu. Research majibu yako kabla hujaongea. Asante
Airbus employs around 52,000 people at sixteen sites in four European Union countries: Germany, France, the United Kingdom and Spain. Final assembly production is at Toulouse (France), Hamburg (Germany), Seville (Spain) and, since 2009, Tianjin (People's Republic of China).[SUP][6][/SUP] Airbus has subsidiaries in the United States, Japan, China and India.
The company is known for producing and marketing the first commercially viable fly-by-wire airliner, the Airbus A320,[SUP][7][/SUP][SUP][8][/SUP] and the world's largest airliner, the A380.
Source: Weekipedia
China threatens US sanctions over arms sale
GUANGZHOU: China will erect trade sanctions against Boeing and other large US companies unless the US Congress blocks the Obama administration's planned $US6.4 billion ($7.2 billion) weapons sales program to Taiwan, a senior defence strategist said. Rear Admiral Yang Yi told the Herald yesterday China was prepared to hurt itself in order to teach the administration a lesson.
Read more: China threatens US sanctions over arms sale
Mmh mkubwa nimekupata....Handle with Care! Heheee na hiyo biti waloichimbia marekani, ndo napata picha ya ulichosema.Kuna tofauti kati ya kufanya HISANI (kwangu mie nachukulia ni hiari) na kulazimishwa. Nimeshasoma sehemu mataifa makubwa hata ya Ulaya, wanalazimishwa na Mchina kucheza jinsi anavyotaka yeye.Ninachosema mie ni kuwa hawa watu ni wa ku-HANDLE WITH CARE.
Viper sheria zetu (kadiri ya ufahamu wangu) zinatoa vibali vya kazi kwa 'wataalam' wa fani maalumu! Hii inasaidia kuwapa nafasi ya ajira wazawa. Sasa sijui utaratibu wa China, labda wao wamachinga watz wanaruhusiwa na taratibu zao. vinginevyo alichokisema mkuu Sikonge kinanipa picha halisibhit umetembea china ..?!! kuna watanzania wengi sana kule wanafanya biashara ndogo ndogo.. mfano nenda mji unaitwa YIWU unawakuta wanauza vinyago , na vitu vingine vidovidogo... kuna baadhi ni wahudumu hadi hoteli kazi ambazo mchina anweza kuzifanya! ..so angalia upande wa pili wa shilingi!
bhit umetembea china ..?!! kuna watanzania wengi sana kule wanafanya biashara ndogo ndogo.. mfano nenda mji unaitwa YIWU unawakuta wanauza vinyago , na vitu vingine vidovidogo... kuna baadhi ni wahudumu hadi hoteli kazi ambazo mchina anweza kuzifanya! ..
so angalia upande wa pili wa shilingi!