Boti za kisasa za uokozi zaingia nchini...

Wilbert1974

JF-Expert Member
Feb 10, 2011
1,632
478
Boti za wazamiaji zaja!.jpg

Hii nasikia haina tofauti na nyambizi; inakatiza hata kwenye mikondo hatari majini!
 
huyu jamaa hayuko serous labda yuko kwenye swimming pool anatest engine yake, vinginevyo hata feri kigamboni havuki
 
View attachment 59496

Hii nasikia haina tofauti na nyambizi; inakatiza hata kwenye mikondo hatari majini!

Hii picha inanikumbusha ile hadithi tuliyosoma zamani katika kitabu cha 'Someni Kwa Furaha. Bulicheka na mke wake Lizabeta, walipata ajali ya meli yao kupinduka. Katika kujiokoa, walipanda meza iliyowafikisha katika kisiwa cha Wagagagigikoko!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom