Wilbert1974
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 1,632
- 481
- Thread starter
- #21
Kamanda hapa nakufa na LOL... Aisee hii ni chiboko jamani wacha kabisa!hahahahaha basi yule jamaa wa magogoni mjue ndo atatoroka nazo pindi m4c tukiingia ikulu
Hiyo ina speed acha kabisa HP zake ni nyingi tu, si unaona hapo kinavyokata wimbi!