Elezea ukubwa, material iliyotumika na kadhalika ili tujue vizuri. Kuna baiskeli ya 100,000/= na kuna baiskeli ya 500,000/=
mkuu manunuzi ya serikali ni tofauti, huku lazima watu waongeze sifuri, rimu ya karatasi tu kwa tenda ya serikalini inafikia 25,000!!maji makubwa ya uhai lita 1.5,kwa serikalini ni 5000!!!
Bakhresa si agombee URAIS tu maana ameweza na zaidi akiwa RAIS ataweza zaidi...
mawazo yangu tu
Bakhresa si agombee URAIS tu maana ameweza na zaidi akiwa RAIS ataweza zaidi...
mawazo yangu tu
Aisee kwa mwendo huu mwaka huu lazima nikatembee Zenji maana kwa hiyo boti hata maji siogopi tena.
Halafu utasikia Kinana na Nape wamekimbilia kwenda kuizindua!
Mbona boti zote zipo vilevile? Sema hujaiona ikiwa kwenye maji...
Kweli mkuu....Mwenye nacho huongezewa...