BoT yatangaza Noti mpya

Hivi ni kipi hasa kinamfanya Corona asidandie noti wakati vitu vingine karibia vyote anaweza?
 
Kwa kifupi ni kwamba serikali imeprint sarafu na kuziongeza kwenye mzunguko sambamba na zile ziliopo yaani zilizokuwepo hazitorudishwa serikalini bali zimeongezewa mzunguko zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli.
Majuzi nilipeleka sarafu nyingi sana huwa ni kawaida yangu kupeleka sarafu na mara nyingi zinakuwa chakavu.
Nikipeleka huwa wananipa notes wao wanachukua sarafu.
Lakini juzi ilikuwa tofauti sana wakakataa kupokea sababu wakasema order ya BOT sasa hivi ni wao kutoa sarafu kwetu ziongezeke kwenye mzunguko na si kupokea.
I was puzzled nikaona labda teller ananiletea kauzibe lakini alikuwa anajiamini sana nikaenda mpaka kwa BM same answer basi nikarudi na fuko langu.
 
Nilikuwa nataka kuanzisha bank yangu. Nimefuta mawazo. Bora nijenge hospitali ya Rufaa niwatibu watanzania wenzangu kwa gharama nafuu. Korona haikubaliki!
 
Kwa kifupi ni kwamba serikali imeprint sarafu na kuziongeza kwenye mzunguko sambamba na zile ziliopo yaani zilizokuwepo hazitorudishwa serikalini bali zimeongezewa mzunguko zaidi.

Sent using Jamii Forums mobile app
JF ni mtandao unaoongoza kwa kuwa na watu "Wajinga" kuliko sehemu nyingine.
Mtu mmoja humu JF kwa ujinga wake alileta Uzi unaosomeka:-
"Kutokana na hali ya uchumi kuwa mbaya nchini, kwa nini serikali isichapishe noti mpya na kuziongeza kwenye mzunguko?"
Halafu baada ya muda serikali imemsikiliza mjinga yule na kufanya aliyopendekeza!
Serikali yetu inasikiliza wajinga? Nashangaa[emoji134]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…