Bot wameshaita watu kwenye ajira | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bot wameshaita watu kwenye ajira

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by bob kalo, Jun 6, 2012.

 1. b

  bob kalo Member

  #1
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Wakuu mwenye taarifa anijuze wiki tatu zimepita tangu nifanye oral interview pale Bot.Tulikuwa kama 15 hv tuliofanya hio interview naomba kujua kama wameshaita plse mwenye taarifa anijuze
   
 2. t

  tomlema New Member

  #2
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 4
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  Kaka Bot wameshaita watu...waliita tarehe 21/05/2012 kwa ile post ya Economist (Monetary)
   
 3. b

  bob kalo Member

  #3
  Jun 6, 2012
  Joined: Jul 30, 2009
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  duu ahsante kwa taarifa kaka tomlema
   
 4. MkimbizwaMbio

  MkimbizwaMbio JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 872
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  Siku nyingine usiombe kazi pale unajisumbua tu mdogo wangu. Wale watu interrview zao huwa Zuga tu.
   
Loading...