Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,720
Economist Macro Surveillance kaka....Post gani kaka?
Kivip wanakufa?...asee jomba kataa iyo post, wanakufaga watu kwenye hilo jengo....
asee jombaa Gefu wanakufaje?
Kivip wanakufa?
Ni zile post za mwaka jana, wameniambia aptitude itafanyika next week tarehe 15 Alhamis. Kwa wale wadau kaeni tayari tayari maana kama umeambiwa uende na calculator ujue hapo ngoma itakua nzito.
Ni zile post za mwaka jana, wameniambia aptitude itafanyika next week tarehe 15 Alhamis. Kwa wale wadau kaeni tayari tayari maana kama umeambiwa uende na calculator ujue hapo ngoma itakua nzito.
Ni pm nikusaidie jambo.
Si umpm wewe tu moja kwa moja??
Si umpm wewe tu moja kwa moja??
Mkuu kwani jina la ukoo wangu unalifaham?una haki ya kuitwa kwa sababu jina la ukoo wako tu ni familia ya vigogo fulani hapa bongo wengine wana dili zao dubai huko