SON OF THE LAND
JF-Expert Member
- Oct 7, 2015
- 204
- 210
Bank kuu tafadhalini angalieni jinsi shiling inavyoendelea kupotea, imechukua muda mrefu shiling kuanza kuwa stable lakini imechukua siku nne kuanguka inaelekea kwenye 2500 kwa dolla na 3000 kwa pound tafadhali biashara zetu zinapata stress na kuporomoka pia saidieni ili tusipotee kabisa