BOT Vacancies

BOT Vacancies

Joined
Feb 21, 2012
Posts
95
Reaction score
6
Habari zenu wana jamvi?

Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?

Hebu tujuzane wapendwa.

Natanguliza shukrani.
 
Habari zenu wana jamvi?
Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?
Hebu tujuzane wapendwa.
Natanguliza shukrani.
Sitaki kukukatisha tamaa, lakini BoT kama hakuna wa kukupigia chapuo. Sahau na tafuta utaratibu mwengine
 
Habari zenu wana jamvi?
Hivi zile nafasi zilizotangazagwa na BoT mwishoni mwa mwaka jana-2013 zimefikia wapi?
Hebu tujuzane wapendwa.
Natanguliza shukrani.
bado mkuu,endelea kusubiri inaweza kuwa soon...
 
sio kweli mkuu....wapo wanaopata kawaida though inawezekana asilia kubwa ni chapuo...kikubwa uwe vizuri wenyewe wataona aibu kukuacha...pia Mungu akiandika kaandika...don't forget to remember that,mkuu..

I admire your determination and patience. Kula la heri mkuu.
 
Nafasi sio za kila mtu bali ni za watoto wa wakubwa hizo.
 
Wastage of time waiting for such gabbage vacancies of BOT,Tanzania is totally corrupted,who knows you is a deal.
 
Wastage of time waiting for such gabbage vacancies of BOT,Tanzania is totally corrupted,who knows you is a deal.
INA MAANA WENGINE TUTAISHIA KULIONA KWA NJE TU...!!!!!
dar+benki+kuu.jpg
 
Applications zilikuwa karibu marobota matano.
 
sio kweli mkuu....wapo wanaopata kawaida though inawezekana asilia kubwa ni chapuo...kikubwa uwe vizuri wenyewe wataona aibu kukuacha...pia Mungu akiandika kaandika...don't forget to remember that,mkuu..
Tatizo wengi walioko pale msamiati uitwao 'Mungu' kwao ni adimu sana mkuu.
 
Nafasi sio za kila mtu bali ni za watoto wa wakubwa hizo.
Hivi kuwaita hawa watu hili jina ni sahihi? au ungeliwaita jina lingine labda 'mafisadi', 'wakwepa sheria' nk, maana hilo linawapa hadhi wasiyostahili. Mtu mkubwa hutenda mambo mema.

INA MAANA WENGINE TUTAISHIA KULIONA KWA NJE TU...!!!!!
dar+benki+kuu.jpg

Mkuu ndiyo hivyo,hii nchi ina wenyewe. Vinginevyo aje apatikane kiongozi wa nchi kama Nyerere Jk, may be hii nchi tunaweza kuifaidi watanzania wote. Kila kona kwenye swala la ajira ni rushwa rushwa rushwa na kujuana ndiyo maana hata utendaji wa kazi hususa katika mandeleo utaendelea kusuasua endapo hakutakuwa na userious katika mambo kama maana yana effect kubwa hapo kwasasa na zaidi twendako.
 
Applications zilikuwa maelfu na maelfu, wameona ni kazi ngumu sana kwao, na inasemekana mkulu wao Bwana Ndulu hataki ufisadi huo mnaousema wa kujuana hivyo wameamua kupeleka swala hilo Delloitte... vuteni subira sidhani kama kutakuwa na longolongo na hata zitakuwepo basi ni mdogo sana. NDulu hataki mchezo binafsi namuadmire sana huyu MZee Bot ya Kikwete imebadilika sio ile mnayoijua ni kazi na seriousness mtindo mmoja! Wakuu wa Mashirika ya Umma yote wangekuwa kama Ndulu nadhani tungesonga mbele sana. hasa haya mashirika ya MAfao!
 
Back
Top Bottom