Invisible
Robot
- Feb 11, 2006
- 9,075
- 7,878
- Thread starter
- #21
Mi bado siamini hivyo (eti lazima wamechukua chao mapema). Naamini kuwa kila kitu kiko vema kabisa na mchakato uko wazi kabisa kwani wanajua kwamba watanzania si mabwege tena! Wakisahau basi tunakutana 'kwa Pilato' within 5yrs tu.Kama anavyosema Fidel, wabongo wamakwisha chukua chao mapema hasa mkijua kuwa watu wa WB nao wanajulikana sana kwa kuchukua commission za 10%i na hawa jamaa wetu waliopo BOT si wametoka huko huko!! Hiyo advertisement ni kifumba macho tu.