Hakuna transparency yoyote. Wakati Tangazo linatolewa wajanja wamekwisha wasiliana na washirika wao kukaa mkao wa kula. Rejea tenda ya vitambulisho! inapotangazwa
Mara nying noti mpya zimekuwa zikitayarishwa katika maandalizi ya uchaguzi mkuu, isijekuwa hawa jamaa wamejaribu kutumia njia hiyo kutengeneza 'dili' wakachomekeana?
Kamchezo kama zinatumika world bank procurement procedure ni kagumu sana,kumbuka wao wana oversee zoezi zima japokuwa wabongo ndiyo wanaofanya process yote.World Bank wako strict sana katiuka mambo haya.