BOT na CMSA mulikeni taasisi ya upatu ya AMAZON TRADERS

Cicadulina

JF-Expert Member
Sep 8, 2015
818
1,000
Nianze kuwapongeza BOT na CMSA jana kutoa tamko kuwataadhirisha wananchi na taasisi ya upatu ya D9 CLUB.

Kuna taasisi nyingine inajiita AMAZON TRADERS nayo inashika kasi ya ajabu. Ukiweka $1000 wanakupa $17 kila siku kwa mwaka mzima. Tunaomba taasisi husika kulitolea tamko na angalizo pia. Amazon traders wanapatikana kwenye website yao hapo chini.

Amazon Traders
 
Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,133
2,000
Mkuu hizi taasisi mbona zinaibuka kwa kasi sana kwa sasa???Halafu yani uweke $1000 afu kila siku upewe $17 kwa mwaka mzima?Je wakiingia mitini???
 
ras jeff kapita

JF-Expert Member
Jan 4, 2015
10,035
2,000
Nianze kuwapongeza BOT na CMSA jana kutoa tamko kuwataadhirisha wananchi na taasisi ya upatu ya D9 CLUB.

Kuna taasisi nyingine inajiita AMAZON TRADERS nayo inashika kasi ya ajabu. Ukiweka $1000 wanakupa $17 kila siku kwa mwaka mzima. Tunaomba taasisi husika kulitolea tamko na angalizo pia. Amazon traders wanapatikana kwenye website yao hapo chini.

Amazon Traders
Hizo hela wanazoweka wanakuja kukopa kwako??
Ama wanaweka pesa zao
Acha kijiba cha roho ....pambana na hali yako
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom