BOT kuja na noti mpya ya elfu kumi

BOT kuja na noti mpya ya elfu kumi

Ufisadi hapo, amini nasema, kwenye ubadilishaji wa fedha huwa unatokea wizi mkubwa wa fedha hapo, Kumbuka Sumaye aliliibia taifa almost a trion kipindi alipokuwa waziri mkuu na katika kipindi hicho walibadilisha hela kama sasa wanavotaka kucheza dili
 
Hizo gharama za kuchapisha noti mpya tupeni mokopo wanafunzi tuliokosa jamani. Nyerere tunamjua, wananchi hawaitsji hela mpya, hata ingekuwa na sura ya jini ilmradi inanunua kitu inafaa sana.
 
Si unakumbuka yale mafurushi yaliyoishia eya poti?
Itakuwa mradi mwingine umeshabuniwa tena, ngoja tu utasikia.
 
yaani hali tuliyofikia kwa sasa hii nchi inweza kuongozwa hata na remote control kwa kweli,this is too much jamani
 
Unaona

sisi tunafikiria wanafikiria namna ya kukabiliana na mfumuko wa madeni kumbe wanajadili ma picha.
 
Si unakumbuka yale mafurushi yaliyoishia eya poti?
Itakuwa mradi mwingine umeshabuniwa tena, ngoja tu utasikia.

Mamndenyi sikuhizi umekuwa mzalendo kwa kuyaona madhaifu ya serikali hii!?maana nakumbuko ulikuwa na MSALANI NA LIZABONI wao kila jambo ni kupinga kwa kejeli tu ilimradi linaihusu serikali kufanya ubadhirifu .
 
Last edited by a moderator:
Kila mtu anayo akili timamu;

Back
Top Bottom