bishoke
JF-Expert Member
- Jan 12, 2010
- 274
- 52
Kwa hiyo tutakua na not tatu za 10000 zinazofanya kazi.?
Kwani zile elfu kumi za zamani aka shuka bado ziko kwenye mzunguko?
Kwa hiyo tutakua na not tatu za 10000 zinazofanya kazi.?
akili zako ni nyingi na zimenyooka sema huziamini umeziegemeza kwenye swali.upo sahihi kabisaHe makubwa haya!, kwani Picha ya Nyerere inahusiana vipi na ubora wa fedha, mpaka tuingie gharama kubwa kuchapisha manoti mapy?. AU WANATAFUTA PESA ZA UCHAGUZI MKUU?
Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000
yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani
mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.

Yap...Kwani zile elfu kumi za zamani aka shuka bado ziko kwenye mzunguko?
Ni vyema, na itapendeza kama watafanya mapema.
​Mmmmhh nasusa harufu ya UFISADI!Kwa habari nilizozipata ni kwamba BOT wana mpango wa kuja na noti mpya sh. 10,000.
Inasemekana hamna sababu ya wazi iliyotolewa ila wanataka kuweka 10,000 yenye picha ya Nyerere inayoonekana vizuri ukiachana na hii ya sasa ambayo Nyerere haonekani mpaka uweke hiyo pesa kwenye mwanga.
Wageni wote karibuni Tanzania.
waweke buku teni ya sarafu iwe kubwa kama cd