BoT Kagueni Biashara ya Forex Chini ya TMT pale Jangid Plaza

BoT Kagueni Biashara ya Forex Chini ya TMT pale Jangid Plaza

Mi sipendi kabisa utapeli. Yaani huyu kijana Ontario nimemzidi umri lakini yeye kanizidi ujanja wa kupiga pesa kweli kweli.

Kibaya zaidi anakaba hadi penati, anafanya hadi shughuli ambazo mtu yeyote anaweza kufanya (kilimo) kwa nini huku asituachie sisi!

Hili swala sio la kufumbia macho kabisa, nasubiria mtu aliyetapeliwa na Ontario aje hapa atueleze namna alivyotapeliwa ili tujikinge yasitupate siku nyingine kutoka kwa huyu tapeli Ontario.

Mwisho: Kumchukia aliye juu hakukufanyi angalau kupanda ngazi moja juu, cha muhimu ni kujifunza kutoka kwake.

Huyu tapeli Ontario ni mwepesi wa kushea njia za mafanikio si tu alizopitia, bali hata anazopitia.
 
Ahahahahaaaaaa.

I just stay in my lane and handle mine.

Wewe nenda ukapokelewe na sekretari wa TMT...kale ka bff kako kale.
Kwani ndiye ameajiriwa TMT?

Teh teh teh nilikuwa siyajui hayo.. dogo naona anaandamwa sana vipi kuna tatizo huko?
 
"Rais alishasema mambo yafanyike kwa shilling hata makampuni mengi
ya shipping agent bandarini wameanza kuandika Invoice kwa shilling baada ya tangazo la mkuu "



Ukiwa na maana watrade kwa Tsh sio?! Kuna mwana siasa aliesisitisha jambo la elimu kama mara tatu hivi kwenye uchaguzi uliopita, nilikuwa sijamuelewa kabla ya kukutana na hii thread.
 
Kwani ndiye ameajiriwa TMT?

Teh teh teh nilikuwa siyajui hayo.. dogo naona anaandamwa sana vipi kuna tatizo huko?

Oh yeah...ndo ka sekretari hapo. Hatimaye kamepata ajira na maisha yamebadilika kidogo

Kuhusu dogo....I have no idea why inakuwa hivyo. Mimi simjui wala hanijui so siwezi kusema mengi maana sijui chochote zaidi ya kile nikionacho humu.
 
Back
Top Bottom