hii itatusaidia sana wazee wa Pepsi, Coca-Cola imepanda tena bei saiz ni 700, walete na sarafu za 700


Unategemea Tz ya V wonder wlvitu vitashuka bei? Au ww ni mgeni kwenye hii nchi?kwa hiyo vitu vikishuka bei wabadilishe tena sarafu na kuleta sarafu nyingine ya 400?