Duhh!! Wewe ndiyo zero mwingine!! Kwa hiyo bidhaa ama huduma za mia mia zifutwe zibaki za 1000 hadi 10,000 tu?au nauli zetu hizi za 400 tuzipandishe hadi 2000 ili kubana mzunguko wa mia mia?
soma ukiwa umetulia, kichwa chako kinafanya kazi vizuriMwenye 1000 anataka apate sukari ya 500 majani ya 100 na vitumbua vi4 utamsaidiaje
Mkuu sina uhakika nilishanunua soda Zimbabwe kwa cent 50 dollar sasa sijui ndo inaanzia hapo au inashuka zaidi,bila kuishia ni dollar 100hivi noti za marekani,ZINAANZIA dola ngapi nakuishia ngap?
huoni kuwa huo ni inflation isiyo ya lazimatatizo si uwepo wa elfu 10, tatizo ni uwepo wa mia , mia mbili na mia tano nyingi sana katika mzunguko wa fedha kuliko mzunguko wa elfu 1, 2 na 5 na hivyo kufanya upatikanaji wa 10 kuwa mdogo sana na hata upatikanaji wa cheji kuwa wa shida kwa elfu 10 kwa sababu pesa za kuicheji elfu 10 zinakuwa zina mzunguko mdogo.
suluhisho
1. serikali ingeanza utaratibu wa kupunguza mia 1, 2 na 5 kwenye mzunguko ili zibaki hizo nyingine ndo ziwe nyingi.
2. bidhaa zingeanza kuuzwa kuanzia mia 5, kwa maana ya kwamba uwepo wa bidhaa za mia moja zinafanya mzunguko wa mia tano tu wenyewe kuwa wa shida sembuse 10000
3. watu wanatakiwa kufundishwa kuijua thamani ya elfu 10 kuliko thamani ya mia moja, hii itasaidia watu kuachana na mia na kutafuta na kutumia elfu 10
unajua hata inflation ni nini? inflation ni pale ambapo unanunua kitu cha mia kwa mia tano bila kitu hicho cha mia kufikia ujazo stahiki wa kuuzwa mia tano. nisome taratibu ndio utanielewahuoni kuwa huo ni inflation isiyo ya lazima
Nimetoka petrostation kuomba change mda c mrefuHuku mtaani hakuna kitu kinasumbua kama chenji.
Watu hawauzi kisa kakosa chenji au auzunguke wee.
5000 na 10000 ni shida,
Mbadala wa efu kumi mprinti 2000 na noti mpya ya 3000 ziwe nyingi za kutosha bila kusahau 500 na 1000.
Chenji ni tatizoo.
unapoondoa hizo mia mbili moa moja si pia unafanya vitu vya mia mia mbili kwenda kuuzwa kwa buku na kendelea, ama sivyounajua hata inflation ni nini? inflation ni pale ambapo unanunua kitu cha mia kwa mia tano bila kitu hicho cha mia kufikia ujazo stahiki wa kuuzwa mia tano. nisome taratibu ndio utanielewa
i mean kwa Noti.Mkuu sina uhakika nilishanunua soda Zimbabwe kwa cent 50 dollar sasa sijui ndo inaanzia hapo au inashuka zaidi,bila kuishia ni dollar 100
halafu karejee kusoma sababu za inflation, moja kati ya sababu ni kupungua kwa fedha kwenye mzunguko, maana sasa vitu vya bei chee itabidi viuzwe kwa bei juu, maana hamna tena vile visarafu kukidhi haja katika ununuziunajua hata inflation ni nini? inflation ni pale ambapo unanunua kitu cha mia kwa mia tano bila kitu hicho cha mia kufikia ujazo stahiki wa kuuzwa mia tano. nisome taratibu ndio utanielewa
na pia utakuwa unaua ile sifa ya fedha, kuwa a good money should be divisible, 'divisibilitu of money'unajua hata inflation ni nini? inflation ni pale ambapo unanunua kitu cha mia kwa mia tano bila kitu hicho cha mia kufikia ujazo stahiki wa kuuzwa mia tano. nisome taratibu ndio utanielewa
Nadhan umeongea kinyume... moja kati ya sabab za inflation ni kuongezeka (kuskoendana na ukuaji wa uchumi) kwa fedha kwenye mzungukohalafu karejee kusoma sababu za inflation, moja kati ya sababu ni kupungua kwa fedha kwenye mzunguko, maana sasa vitu vya bei chee itabidi viuzwe kwa bei juu, maana hamna tena vile visarafu kukidhi haja katika ununuzi
Wana coins mkuu hiyo cent 50 ni coini mean kwa Noti.
au UsA hawana Coins?
tatizo si uwepo wa elfu 10, tatizo ni uwepo wa mia , mia mbili na mia tano nyingi sana katika mzunguko wa fedha kuliko mzunguko wa elfu 1, 2 na 5 na hivyo kufanya upatikanaji wa 10 kuwa mdogo sana na hata upatikanaji wa cheji kuwa wa shida kwa elfu 10 kwa sababu pesa za kuicheji elfu 10 zinakuwa zina mzunguko mdogo.
suluhisho
1. serikali ingeanza utaratibu wa kupunguza mia 1, 2 na 5 kwenye mzunguko ili zibaki hizo nyingine ndo ziwe nyingi.
2. bidhaa zingeanza kuuzwa kuanzia mia 5, kwa maana ya kwamba uwepo wa bidhaa za mia moja zinafanya mzunguko wa mia tano tu wenyewe kuwa wa shida sembuse 10000
3. watu wanatakiwa kufundishwa kuijua thamani ya elfu 10 kuliko thamani ya mia moja, hii itasaidia watu kuachana na mia na kutafuta na kutumia elfu 10
hiyo ni short run ina pelekea defation, ila in long run inapelekea inflation maana,Nadhan umeongea kinyume... moja kati ya sabab za inflation ni kuongezeka (kuskoendana na ukuaji wa uchumi) kwa fedha kwenye mzunguko