Boss wangu kabamba thread ya "Kivazi" Kazi ipo...!!!

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,821
31,774
Last edited by a moderator:
Jamani member wa JF,
Boss wangu kabamba uzi niliochangia kwenye thread ya kivazi,
Sijui kaijuaje UserName yangu humu JF,
Kasema nimeichafua Ofisi yake kwa kusema naweza vaa vazi lolote.
Na kesho nawekwa mtu kati; beibe nasty Cantalisia Lizzy BAGAH YNNAH Husninyo erick52 Kongosho Amyner Kijino Mu-sir
na wengineo...
Nipeni maneno ya kumwambia The Boss,kwani kazi bado naitaka. Mtambuzi Angel Msoffe Nyani Ngabu
Nisaidieni...!!!
We tupia Kipedo chako na viatu mchuchumio, halafu piga Kiblauzi chepesi kiache na kitovu nje ................naamini hutawekwa mtu kati, kwani atajua ni mtindo wa Kidhungu.................LOL
 
Mtambuzi, mlinzi atanipitisha kweli getini...??
Na unajua walivyo na usongo..!!!
 
Last edited by a moderator:
We tupia Kipedo chako na viatu mchuchumio, halafu piga Kiblauzi chepesi kiache na kitovu nje ................naamini hutawekwa mtu kati, kwani atajua ni mtindo wa Kidhungu.................LOL
Kumbe ulijua hairuhusiwi wewe ukajifanya mchangiaji sana eeh! Kazi kwako!
 
Madame B ........Kama ni mlinzi ni wa kampuni binafsi, mundalie BUKU tu utapita................ wanakuwaga na njaa wale.......we acha tu...!

Eti e..!! Mtambuzi nimempigia simu mwenzangu,wameambiwa hata nikihonga kazi bure...!!!
Ma Boss wa mjini hawa,mbona kazi tunayo...!!!
 
Last edited by a moderator:
usijari ka vipi ata ofsini kesho usiende kabisa, ntafute mimi kuna kazi nzuri kwa ajiri yako..
 
jaman madame b mbona easy u jus piga bonge ya high waist na silk shirt piga lipstick nyekundu ukifika msalimie kwa bashasha na kisses huku ukimwambia imsory boss huku macho hayo yafanya kazii. Iknw u cn do dat madamee b
 
...thank u beibe nasty,
tatizo boss wetu ana gubu...!!!
Tunamvaliaga mpaka trnsprt dresses lakini wapi..!!! Mshipa wa shingo umemsimama....kama anapiga chabo..!!!
 
Last edited by a moderator:
jaman madame b mbona easy u jus piga bonge ya high waist na silk shirt piga lipstick nyekundu ukifika msalimie kwa bashasha na kisses huku ukimwambia imsory boss huku macho hayo yafanya kazii. Iknw u cn do dat madamee b

ngekua mimi bosi apa ngekuxamehe lakini lazma nkupe overtime nyumbani kwangu..
 
Hahahaaaaa usinchekeshe mie overtime na overtime payment itakuwepo? Akuu mwenzangu mkeo jee

mwenzangu....asije mkewe akatukorogea sumu bure...
Na wenyewe siku hizi cjui wamelishwa nini na wake zao.
 
jaman madame b mbona easy u jus piga bonge ya high waist na silk shirt piga lipstick nyekundu ukifika msalimie kwa bashasha na kisses huku ukimwambia imsory boss huku macho hayo yafanya kazii. Iknw u cn do dat madamee b

Mnajua rushwa zipo za aina nyingi?? Na matokeo yake mwayajua, asije mtu kulalamika tena! Hayaa......msijesema hamkuonywa!
 
angalia ucje kunialibia mipango sasa.. we acha afanye hivyo, hiyo ata sio rushwa tena ndo maadil ya kazi.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom