Boss wangu kabamba thread ya "Kivazi" Kazi ipo...!!!

mwenzangu....asije mkewe akatukorogea sumu bure...
Na wenyewe siku hizi cjui wamelishwa nini na wake zao.

mi bado cjalishwa hivyo vitu.. so yo welcm hyo sumu lbda ujikorogee mwenyewe coz we ndo utapika ukija.!!!
 
Last edited by a moderator:
beibe nasty kushakucha hapa 2mbo joto.
Nimepangua kabati zima cioni nguo ya kumtega The Boss
Nikikosa kabisa nguo itabidi nikimbilie kwa Junior. Cux niiwah ajira "ya kujitakia"
hapa Jf hatoki mtu.
Sema mamito beibe nasty na
babito Junior. Cux mmeamkaje....!!

dah huku kuna bonge la mvua na kibarid mpka kumoyo sa hizi npo ktandan tu najifkilia kuamka... hizo nguo bora ata uczipate kabixa
 
Last edited by a moderator:
dah huku kuna bonge la mvua na kibarid mpka kumoyo sa hizi npo ktandan tu najifkilia kuamka... hizo nguo bora ata uczipate kabixa

he muone Junior. Cux mate yanavyokudondoka kama Fisi lililoona fupa.
Haya nakuja nisubiri ila ntafikia sebuleni babitooo...!!!
Chumbani siingii.
 
Last edited by a moderator:
mwambie ungependa u discuss hii issue ya JF leo usiku over dinner....its that simple...:happy:
 
dah huku kuna bonge la mvua na kibarid mpka kumoyo sa hizi npo ktandan tu najifkilia kuamka... hizo nguo bora ata uczipate kabixa

he muone Junior. Cux mate yanavyokudondoka kama Fisi lililoona fupa.
Haya nakuja nisubiri ila ntafikia sebuleni babitooo...!!!
Chumbani siingii.
 
Last edited by a moderator:
he muone Junior. Cux mate yanavyokudondoka kama Fisi lililoona fupa.
Haya nakuja nisubiri ila ntafikia sebuleni babitooo...!!!
Chumbani siingii.

ondoa shaka, sebuleni panatosha uko chumbani utaenda kwa emergency 2.!!! nkuandalie nin kingine bibie..
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
ondoa shaka, sebuleni panatosha uko chumbani utaenda kwa emergency 2.!!! nkuandalie nin kingine bibie..

ila Junior. Cux inabidi milango,madirisha yawe wazi tukifanya hyo "discussion" ili "somo" likishindikana niweze ku-'yeya' popote.
Mh! Ntajitahd pasitokee "purukushani" za kuhitajika First Aid wala Ambulance.
 
Last edited by a moderator:
Ndo naamka now madame b jaman angalia vizuri bana vivaz hot bana achana na junior ye mwenyewe anataka kazi

hahahahaha wee mi cna shida na kazi, am d providr.. ka vp ata we naeza kukupa, tena ukiwa na madame b pamoja hyo kazi itanoga sana..
 
ila Junior. Cux inabidi milango,madirisha yawe wazi tukifanya hyo "discussion" ili "somo" likishindikana niweze ku-'yeya' popote.
Mh! Ntajitahd pasitokee "purukushani" za kuhitajika First Aid wala Ambulance.

tatizo kuna a.c, sa nkiacha madirisha wazi itakua sio pozi.!!
 
Last edited by a moderator:
Na ukikaa kwenye kiti weka nne ya uhakika
asome hadi mistari ya kwenye nguo ya ndani akomage.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom