Boss wangu anitaka kimapenzi......


mi kidogo mtaalam wa records, tanzania still tuko kwenye paper records only lakini hizo erectronic records unazoongelea hapo bado hazijawa proved to be used as evidence.
 
Mpe tu vyombo apige,kwan hakuna mwanamume uliyewahi kumpa??au kwa kuwa ni bosi basi hastaili kuvuliwa chupi,mpe ule maisha wewe acha uboya,hakikisha mnapima ngoma au mnatumia ndomu,haina maana kama unamvuliq chupi layman halafu unamnyima bosi!!
 

Amekuwa ugawaji?
 
Ndo wewe unamsumbua nini?
Take it from me,miaka 30 jera inakusubiri.
maana hiyo kitu inaangukia kwenye makosa ya ubakaji.
kwa mujibu wa sheria za nchi.

Miaka 30 kwa lijitu limetooooooo tokea darasa la tatu, tena unaweza kuta kote kote lipo wazi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…