Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.
Napenda sana episodes kama hizi!
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed

Faida ya ukauzu ndio hiyo nawewe kaa mkao wa kutimuliwa wee unapanda bodaboda unawashika mateja kiuno bali bosi ndo unamvimbia utaenda kula polisi ohoooooheeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed
Tambua kuwa boss kashika mpini its not that much simple. Lakini suala la kumpa mimi silikubali kabisa. Tukiacha masuala ya marital status ya boss mwanamke unapaswa kwanza kumvulia 'moyo' wako mwanaume kabla ya kumvulia nguo. Hata angekuwa single kama moyo haujamkubali je. Ni vema kuanza kutafuta kazi nyingine kuliko kumvulia nguo mtu ambaye hujampenda.
heeey.......nina stress...mimi ni mwajiriwa katika company binafsi,ni mfanyakazi mzuri na napenda kufanya kazi zangu kwa umakini,ofisini nimezoana na watu wengi na hupenda kutaniana na wengi..sasa kuna kaka moja ni kma assistant manager amekuwa karibu yangu na tuko ofisi moja. baada ya kipindi kirefu tumekuwa marafiki wa karibu cha kushangaza niliamishwa ofisi hiyo na boss bila sababu ya msingi... ilinishangaza ila ckupeleleza zaidi cku moja aliniita boss na kuniuliza nina mahusiano gani na yule kaka nilimwambia ni rafki wa kawaida....cku zliendelea kawaida siku nyingine tulikuwa lunch break na nilienda na yule kaka mahali tukala mda c mrefu boss anae aliingia alika counter na alikuwa anatuangalia vibaya sana,hatukuchukua muda tukaondoka..boss bdae alimfata yule kaka na kumpa onyo asimuone tena karibu yangu.....ilinisikitisha sana baada ya wiki moja yule boss aliniambia ananipenda na anatakuwa kuwa mpenzi wangu nilimkata kwani..ni mtu na anafamilia yake...the next day he was mad alikuja ofisini very mad na alimfukuza yule kaka kazi bila sababu.... kinaniuma sanaaa sanaaa kwani yule kaka anajuta kunifahamu na alikuwa anategemea sana kazi yake...cjuchakufanya jamanii...najiskia vibaya sanaa.....i am stressed
Ushauri wa bure: Kama kweli unamuonea huruma huyo kaka aliyefukuzwa kazi bila kosa, basi mpe penzi huyo bosi wako anayekutaka, kwa sharti moja tu...Amrudishe kazini kaka wa watu ambaye hana makosa.
Halafu akishamshamrudisha, huyo kaka nae mpe tunda ale ili kupoza machungu aliyoyapitia!
Kazi mbona ndogo tu hii. Unatumia 'Smart Phone'? Muwekee mtego akiri kwamba alimfukuza kazi yule kijana bila sababu ya maana(kiutendaji) na pia anakutaka kimapenzi. Picha, video au chochote kile. Then njoo humu barazani tutafute wanasheria, atakulipa fidia ndefu sana.
Napenda sana episodes kama hizi!
Huu ni ushauri au mav.I haya? ?? Smtms tuwe serious jamani, Kwahiyo akipata magojwa kwa bosi ndo ampelekee akamwambukize na mshkaji sio? Hiyo itakuwa kilio mara mbili aisee! !h
Dada kama una ujasiri wa kutosha naww acha kazi fanya mishe zingine coz boss atazidi kukusumbua hapo?!
Tatizo hawa dada zetu ni vigumu kuwaamini,hapa anashauriwa lakini unaweza shangaag baadae anampa boss kimya kimya alafu anasema nilipitiwa