Boss wangu ananiumiza hisia zangu

Mkiambiwa Akili zenu ni kama za Kuku na ndiyo maana hata Biblia ( Maandiko ya Mungu Baba ) yametutaka tuishi nanyi kwa Akili mnaona tumewadharau na mnakasirika wakati Kiuhalisia ni kwamba mna Mapungufu makubwa mno na hamtaki Kushaurika au Kujifunza ili mbadilike Kifikra na Kitabia.
 
Wewe huyo boss wako anamke? Kama ana mke basi na wewe umetenda kosa la kuwa na mahusiano na mume wa mtu. Hivyo kama alivyokutaka wewe NDIVYO atakavyo wataka na hao. Usiumie Kwa Hilo ila umia Kwa dhambi uliyotenda. Yakupasa utubu. BARAKA ZAKE MUNGU MWENYEZI ZA BABA NA MWANA NA ROHO MTAKATIFU ZIKUSHUKIE NA KUKAA NAWE DAIMA.
 
PENZI HUPONYWA NA PENZI, Sweetheart welcome to my arms so as i can make u forget him! and it seems like your from the oven coz u seem to b so HOT! Mashallah Mungu kakupa kila kitu kasoro namba yangu tu ya simu so usijali, ntakupa dm
 
Endelea na kazi tafuta mahusiano mengine jiegeshe kimtindo mahali upate kampani kwa muda flani usioneshe kama unamfia Sana boss fanya kazi kwa nafasi yako, kula vzr, lala kwa wakati & piga ibada

Maisha ni zaidi ya hayo mahusiano
 
Sikuuupata huo uzi uliomba ushauri juu ya hilo ila kama jamaa ameoa achana nae. Kama kapiga na bado anazingua achana nae. Anakula hao wengine dili na mambo yako punguza kumnyenyekea
 
Nchi za Afrika (Kusini mwa jangwa la Sahara) ni Maskini kwa sababu tunaendekeza utombanaji maofisini. saa za kazi tunawaza mapenzi tu. Tofauti Na wenzetu wahindi, wachina na Wamarekani hawana maskhara kabisaa maofisini saa za kazi
nimecheka eti tunaendekeza [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…