Boss wangu amenitaka kimapenzi

Kwa msaada aje twende kwa DC tukafunge ndoa ili apate cheti, halafu ndo aombe uhamisho kwa kigezo cha kumfuata mume wake. Lazima ahame yaani.

After that siku akitaka kufunga ndoa halali itakuwaje maana vyeti vya ndoa navyo siku hizi vinaingizwa kwenye system sijui ndio computzaiz au gredi ya Taifa mi sijuii sasa siku akitaka funga ndoa nyingne itaonekana ni batili maana anayo ya kwanza na haijatolewa talaka wala mgawanyo wa mali na hakuna 7bu ya kuvunjika na kama ipo washauri wa ndoa mbona hawajaishuglkia hata siku moja? Whel... penye udhia bongo penyeza rupia je wajua itakukost gharama kiasi gani?
Nenda takukuru kamshtaki boss wakupe namnaa na kama upendi hivyo zungumza naye na weka simu yako kumrekodi akiomba game na wewe uwe kinyume naye sasa kutakuwa na mabishano na mvutano kati yenu ukiona umefanikiwa kurekodi ipasavyo basi nyanyuka mwambie bosi nakupa siku 2 uniambie kama utanisainia au hutonisainia na isiwe na mashart wala pingamizi lolote kwani ni haki yangu. Sasa baada ya siku 2 unamfata unaweka record yako vzr unamrekodi tena ukiuliza akikugomea unatoka ukimwambia sawa ila bado sijakata tamaa. kama bosi anayo wasap unamtumia hiyo audio na unamwambia ukimaliza kuisikiliza nijibu utasaini au hutaki niende ngazi ya juu??? Kingne kama boss kakupenda nawe huna kpngamizi mpee kwani anaondoka nayo??? ila mmmhh shauri yakoo mie simooo
 
Jamaniiiieeee..... Mwenzio nilitemwa job kwa kunyima papuchii na mbaya zaidi jamii ya kimbea na mke wa bosii walikuwa wanaamini bosi ananikabia chini kumbe masikini ya Mungu hakunaa... mke akaja mpk kunifanyia fujo kazini na kazi nikaikosa hiviii wkt naiyona maana bosi mke alimkaba koo lasivyo anaharibuu sasa kizee na watoto 10 maamuzi ya kumpnga mke hanaa akakubali mie niondoke ila sasa kujihami yeye akawa kutwa visaa hiki hufanyi vzr, unachelewa kitu kidogo anakugombezaa mbele ya watu bado nikawa jeuri ila nalia kuuutwa kazi ikawa kidonda kwangu mara anite malaya,muhuni alipoona sitngshiki akatumia rungu kuondoa nafasi yangu ya kazi na akasema kwa program officer sasa hatutohitaji mtu wa kitengo cha huyu bint kwa mwaka unaofwata hivyo mkataba wake kushney... Ila mpk naondoka na nahama huo mji hakuwahi zungumza na mimi kuhusu A wala Z.
 
Duuu hiii kali ila KAZI HUTAFUTWA ILA UTU JAMANI ni kitu kingine kwa kweli. usiogope asimamie kwenye haki yake kuomba transfer ni one of her rights hayo mengine asimtishe.
 
huyo boss anataka kumpa ukimwi tu, asimame kimungu, nami namuombea ktk jina la Yesu Kristo Natuma Utisho Wa Kimungu Umtangulie
 
Asali nyingine hazionjwi zikionjwa ni moja kwa moja. Hivyo ni busara kutoonja onja katika maisha, amini muarobaini ulionao ni zaidi ya asali

Sasa mtu anabana utamu ili iweje
 
Ingawa nahisi umeandika upesi upesi hivyo kuleta shida katika kuelewa hasa undani wa issue yenyewe, lakini wacha nimshauri akamweleze hivi;

"BOSS napenda sana kuheshimu hisia zako juu yangu lakini wakati huo huo na mimi kujaribu kujipekua kama hisia zako na zangu zinaweza kukutana..! Hivyo kwa sasa akili imehamia kwenye kuhama kwa asilimia mia, nahitaji kulifikiria hili ambalo limekuja wakati huu baada ya kukamilisha uhamisho...."
 
Mwambie akimkubalia aanze kujiandaa na dozi za ARV's huyo boss namjua.
 

Umeanza vizuri sana ila finishing mhh!
 
Amwambie huyo boss kuwa ni HIV victim. Nachukia sasa sana wanaume wanao tekeleza majukumu yao kwa consideration ya papuchi. Hate em to die..., f***k em all.
 

Cjui kama atakuelewa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…