Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 5,149
- 14,488
Kuna mambo ya hovyo sana Afrika yanafanyika bila kuzingatia uhuru, utu, haki na utawala bora.
Leo mahakamani ambapo ni sehemu huru panategemea maelekezo kutoka kwa DPP ili mtu ashitakiwe ama awe huru? Huu ni uhuni na uhujumu wa uhuru wetu. DPP anapaswa awe checked na mamlaka huru kama bunge na mahakama yenyewe.
Huko mbele wahalifu watajifungua kwenye kichaka cha DPP kutofikisha mahakama ama kufutiwa mashitaka.
Judge mkuu amekuwa celebrate ndani ya mhimili wa mahakama huku DPP ndiyo akiwa na uwezo wa kuamua nani akae rumande, nani atoke nani ashitakiwe hata kama kwa kuonewa.