princemikazo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2019
- 2,197
- 2,053
Habari zenu wakuu,Natumai mko salama...Direct to e' Point,Yule Mjasiriamali msomi wa mambo ya TV Productions na Mrembo ambae pia ni Boss/CEO wa Redio Lake FM 102.5 Iliyopo Mwanza Tanzania Mrs.Doreen P.Noni ameanzisha kipindi cha TV ambacho kinachoitwa 'Tena na Tena/Again & Again' Ambacho kimeanza leo kuruka Clouds TV pale CMG,,Akiongea leo kwenye XXL ya Clouds FM amesema Content ya kipindi ni Watu mbalimbali waliofanikiwa katika maisha au Career zao kuzungumzia walifikaje hapo walipo pamoja na Changamoto walizokutana nazo,Pia amesema kipindi kitaanza na Makoye wa MakJuice ambae ndo atakua mgeni mfunguzi wa kipindi hiki..Mrembo huyu ambae kasema hayuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na mtu yeyote amekua ni Mtu simple ambae anatoa ushauri na mawazo juu ya watu tofautitofauti,,Issue yake imenifundisha kitu kimoja kwamba'Hupaswi kuridhika na sehemu uliyopo hata kama ni kubwa kivipi'.
@ChaliiYaKijengeJuu.
@ChaliiYaKijengeJuu.