Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

Nimeishakuambia njoo nikupe ajira ya kutawaza mbwa wangu mbwe'ge wewe.

Unategemea mabwana zako kina Slaa na Mbowe eti wachukue nchi upate ajira kauzu kweli wewe.

Muulize huyo mdogi wa manzese huyo mbowe alikwenda kutafuta nini kwa WAISLAMU Omani?

Hawa watu wana akili km Tembo!
Yesu wangu weeee!
 
...pesa ni mwanaharam hakika...unapoona watawala wanakumbatia wafanyabiashara wa kigeni kwa kiwango hiki lazima uwe na maswali mengi....haiingii akilini kabisa watawala kuwa na ushkaji wa kiasi hiki na mfanyabiashara wa kiarabu...Waliposema JK kahongwa vipande vya nguo na viatu na mwarabu kweli hawakukosea.... maana anawakumbatia sana waarab huyu....Alafu huyu mwarabu hapa ana kashfa hadi za kuwafi.ra mahasimu zake akiwa amewashikia pistol....hapa anaonekana aki enjoy kushika ma pistol....maana ndio game zake....Lakini watawala wanakula nae...Hii ni zaidi ya majanga.....Hii ni kashfa kwa watawala wetu....kwani wao hawaoni????

bora huyu anatumia pistol nyinyi makanisani hata pistol hamuna lkn mnnafanyana haka kamchezo balaah!!!!!!!!!!! na hv ndio mshaidhinisha naona s hv unasubiri posa
 
Ni kweli Faiza inawezekana tunasomea ujinga lakini nijibu basi ni vigezo vipi vinatakiwa ili apewe ubalozi wa heshima?
Ukiweka vigezo hivyo unaweza kututukana matusi yote upendayo!!!

Vigezo, kwanza uwe Mkristo, pili uwe Mmerekani.

Hapo hakuna ataekuja JF kuhoji.
 
A muslim can not bring an argument without a valid Reasons for it!

I can smell a piggy here!

Kipi nilichoandika hapo juu kina dalili za udini!

Au kusema Nyerere aliwapa nafasi wagalatia Ni UONGO?
We ulitaka niseme "aliwapa nafasi watu wa imani yake? Au waefeso?

We km huijui historia ya nchi hii bora ukae kimya tu!
hatuwezi kutumia udhaifu wa nyerere kama reference ya kufanya maamuzi ya sasa. hilo la nyerere linajulikana lakini si jambo la kufanyia rejea kuhalalisha aliyoyafanya yafanyike na sasa pia. tuchukue mazuri ya nyerere, na madhaifu tuyaache, hata yeye alisema hivyo.
 
mfumo kristo !? tuache mambo hayo hayatusaidii, hizi dini wameleta wazungu na waaarabu.

Hawa walipochaguliwa ni nani alihoji?

581194_10153238066040247_1788561432_n.jpg
 
hatuwezi kutumia udhaifu wa nyerere kama reference ya kufanya maamuzi ya sasa. hilo la nyerere linajulikana lakini si jambo la kufanyia rejea kuhalalisha aliyoyafanya yafanyike na sasa pia. tuchukue mazuri ya nyerere, na madhaifu tuyaache, hata yeye alisema hivyo.

Sasa km ni hivyo kuna kosa gani kwa Kikwete kumchagua huyu bilionea kuwa balozi mdogo wa Tz huko China?
Ni roho mbaya watanzania mlionayo? Au ni uhasidi na wivu usio na maana?

Mlitaka achaguliwe maskini ambae ni shemeji yake na Waziri mmoja ili akashibishe tumbo lake kwa kula mali ya Ummah sio?

Acheni ubaya wabongo. Maisha yenu yatapungua bila sababu.
 
Anazijua kadinali Pengo na mwanya wake!
Mi nikijuacho ni kuwa Wengi wenu bado ni watumwa kiakili.

Mnaabudu picha ya mzungu na sanamu lake mpaka leo 2014!
Hio ni akili mbovu kuliko akili zote ulimwenguni.
Pili.
Wakati nyerere anaajiri MAPADRI wasio na elimu Na kuwapa WIZARA Nyeti km za ELIMU hakuna muefeso hata mmoja alipiga kelele.
Na bado mlikuwa mnamtungia nyimbo za kumsifu.
Leo kikwete kuchagua watu ambao nafasi ya wao kuwa wabadhilifu ni ndogo mnapayuka na kufunga kanga kiunoni na kuropoka ovyo!

Nyie wagalatia kwakweli ni Majanga tu!
Bora ikiwezekana mrudishwe kwenu kongo mkamalizane.

Haya mambo ya Kidini yanatoka wapi nyii makenge, wengine hatuna dini humu, na dini zenu za...... jibuni hoja anavigezo na hizo kashfa zitoleeni maelezo, sio mnaongea tu kama madem wa kona bar, uislam na ukristo ndio makitu gani
 
Haya mambo ya Kidini yanatoka wapi nyii makenge, wengine hatuna dini humu, na dini zenu za...... jibuni hoja anavigezo na hizo kashfa zitoleeni maelezo, sio mnaongea tu kama madem wa kona bar, uislam na ukristo ndio makitu gani

Shangazi minuz naona unarusha mipasho ka uko lango la jiji!

Usipende kudandia maneno bila kujua chamzo chake. Utakuja kupata ujauzito ambao hukupangilia.

Tulia mtoto, wazee tutoe dozi kwa waefeso.
 
Last edited by a moderator:
Mh,wewe ndo mgumu kuelewa,mi nimeweka article nzimanzima bila kuweka maneno yangu,wewe unakurupuka eti namtetea,namtetea nani wakati sijaweka neno langu bali nimepaste article?au tuseme walioandika ati waliweka ili ije imtetee huyo salaah?.
article inaeleza maana ya balozi wa heshima sasa kipi kinakufanya uamini kwamba inamtetea salaah kama si kutoielewa article yenyewe.?


Aaaargh kumtetea tena, hivi inawezekana na hata kama inawezekana wewe unaweza kumtetea huyu???!!!
Hebu kaa wima mtu mzima!!!
 
Galatiaa lolote hata akili hirudi saa nane usiku

Hivi hz chuki zenu zitawafikisha wapi

Hivi inatambua shida wa tz wanazopata guanzou nyie kizazi kilicho laanika

Hivi mnafahamu hawajamaaa wanawasaidia watanzania wangapi

Galatians chuki zenu acheni
tansoma nimependa sana id yako, hivi kirefu chake huwa ni nini!?
Maana nasikia mna mahoteli ambayo 'yanaungua' kiaina, hayaishi kubadilishwa majina kila miezi minne tena huko huko Kariakoo.
Je, hawa mabwana huwa wanawasaidia pia?
Na unadhani hizo mbimu mnazotumia ndiyo aina ya 'misaada' ambayo wafanyabiashara wanaitaka?
 
1516445_1437879976444670_315261679_n.jpg


Yaani hii picha unaita private issue? hivi kweli mtu kama huyu ambae anamiliki bastora 3 na inawezekana ana silaha zaidi ya hizi je tujiulize silaha kama hizi ni kwa ajili ya nini? na inatakiwa ujue kiongozi bora ni yule aliye na historia njema ya maisha yake tangu ujana.
Hapo anajilinda na wavamizi hauoni gari lake pembeni limepinduka unajua limebeba nini?
 
Kuna watanzani wamechaguliwa hapa nchini kuwa mabalozi wadogo wa nchi zingine,cha ajabu nini!mfano Ubalozi mdogo wa MEXECO.
 
Aaaargh kumtetea tena, hivi inawezekana na hata kama inawezekana wewe unaweza kumtetea huyu???!!!
Hebu kaa wima mtu mzima!!!
Kumbe hata hufuatilii unachopost, zamani nikidhani mtu yeyote anaeanzia na jina ole ni always smart sana,hasa kipindi nakua namuona ole telele alivyokua mtu asiye na nosense ,always sharp and smart,kumbe inategemea ntu na ntu.
 
.......Jamaa wamempeleka China kusimamia uingizwaji wa "mizigo" kutoka Tanzania maana siku za hivi karibuni kumekuwa na vijana wengi wanaopeleka "mizigo" ya wakubwa kule China wamekuwa wakikamatwa. Jamaa ana uzoefu wa madili ya haramu na magendo.

CCM OYEEEEE!!!........
 
waefeso ndio makitu gani jibu hoja kenge
Waefeso ni viumbe wenye nyoyo au roho za korosho ama choroko,viumbe hawa wanakuaga na roho ya kwanini na ni watu washirki wanaoabudi miungu na kunywa na kula nyama za miungu yao.
 
Back
Top Bottom