Boss wa Home Shopping Centre 'apewa shavu' na Tanzania huko China

Hatari ya nini?

581194_10153238066040247_1788561432_n.jpg


Hawa wote ni mabalozi, umewahi kuwasikia au kuwaona?

Mitanzani mingi ni mupunguani isiyo na uelewa ndiyo maana hatuendelei, roho mbaya tu.

Mtu kafunguwa mada, kashindwa hata kuwela ni balozi wa heshima wala hakutoa sababu hata moja kwanini asipewe ubalozi wa heshima, eti vetting. Anajuwa maana ya vetting za mabalozi wa heshima?
vetting ni nini?
 
Mimi kwenye katiba mpya nilikuwa napenda kuwepo na vetting pindi wateuliwapo viongozi waandamizi na hiyo vetting ifanywe live kupitia runinga ili wananchi tujue.
 
serikali pumbav zaidi kuwahi kutokea ulimwengu huu,prof. wetu wa kichina kavunja record ya udhaifu sasa
 
Bendera ya Tanzania iongezwe rangi nyingine maana hii nyeusi inawabagua watu hawa...wahindi,waarab nao wawe na utamburisho rasmi kwenye tunu na bendera ya Taifa.
 
Acheni upotoshaji Salah anafanya biashara zake china kihalali na ni mmoja wa watu anayesaidia watz wengi wanaopata matatizo ya kihamiaji
Pia lazima muelewe kuwa kutoka mji aliopo huyu mwarabu na ulipo ubalozi wa tz ni mile nyingi so si kila raia anaweza kumudu kusafiri kwenda huko kwa vipato vyao
Kwa upande wangu sioni kosa kama wameamua kumwomba awe balozi mdogo kwa msaada zaidi kwa watz
mkuu upo sahihi kabisa, unasemaje kuwa huyu salah ndio waziri ajaye wa foreign affairs chini ya Rais membe?
 
Ama kweli akumulikae mchana usiku hukuchoma na tukiambiwa hiyo nyumba tuhami na sisi hujibu tunataka amani sasa domo na ngonjera za nini tuwe kama kundi la vipofu na chongo kuwa mfaleme
 
This is an insult kwa vijana wetu waliosoma na wakasota pale chuo cha diplomasia na sasa tazama hii...

Shimbo amekuwa reduced to this....

10597327_1439692179653516_309448218_n.jpg

Wacha ufataani wewe, kosa ni nini? hata huyo ni kijana wetu na kasoma.

Mbona wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani huwasemi? tena si Watanzania. Au macho yako yana makengeza?
 
914441_1549696978578688_915181303_n.jpg


With The permanent secretary in the ministry of foreign affairs and international cooperation Mr. John Haule

10727618_367603696748646_2028245786_n.jpg


10747795_1505818026346063_802299687_n.jpg



Msiniulize vetting ya yeye kupewa Ubalozi huko Guangzhou China ilifanya lini, na nani na criteria zipi alizokuwa nazo huyu mwarabu wa Yemen mpaka kupewa Ubalozi.



1. Huyu jamaa hakufayiwa vetting yoyote ile whatso ever na usalama wa Taifa kabla hajapewa hiyo nafasi.

2. Familia yake na biashara zao zimekuwa kwenye kashfa nzito nzito za kwa ukwepaji kodi

3. Salaah hana elimu wala qualification yoyote ile ambayo ingemfaya apewe nafasi hiyo. As a matter of fact how can you give a diplomatic post kwa mtu ambaye kaishia standard 6?

4. Kwa sababu za kiusalama aka national security hafai kupewa hiyo nafasi.

5. Kwa sababu za national interest hafai kupewa hiyo nafasi

6. Foreign wapo watu wengi sana ambao wana qualify kupewa hizo nafasi na washapitia hiyo vetting na due dilligence

7. Salaah na familia yake hawana intergrity -both professionally and personally kuwa ma diplomats wa tanzania kokote kule duniani

Kuna vijana wengi wa Kitanzania ambao wamesoma,wazalendo na washafanyiwa vetting na usalama na wapo Foreign hawapewi

Sasa cha kujiuliza hibi serikali ya nchi hii ina maana gani kusomesha watu wake na kisha kuwaweka benchi pale foreign halafu wanaenda kumteua huyu mshihiri wa Yemen ambaye hakusoma kuwa balozi wetu huko china?

Mbaya zaidi utashangaa jinsi mawaziri na viongozi wa juu wa serikali wanavyo mnyenyekea wakati kuna vijana wa Kitanzania ambao wasomi wanaendelea kusota pale wizarani na nafasi hizi hawapewi.

10483588_589632377818544_138517221_n.jpg



From the left side Commissioner of Immigration Hon. Ambokile, SALAAH in the middle and Inspector General of Police Mr. Mangu

5ceda698ae8811e382ef125cd204e408_8.jpg


with his friend Samuel Sitta on Emirates First Class

1516445_1437879976444670_315261679_n.jpg



114.jpg
Acha wivu wa kike Salaah kaenda shule na hapo Guangzhou anawasaidia sana watanzania wafanya biashara, mbona nyie mnaongozwa na Mbowe kidato cha 4.
 
wacha ufataani wewe, kosa ni nini? Ata huyo ni kijana weyu na kasoma.

Mbona wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani huwasemi? Tena si watanzania. Au macho yako yana makengeza?


haya waarabu wa pemba hao.........na china wamempa mh u profesa wa hisani.....hivi ni nani yule aliyepewa ubalozi wa hisani? Na alipewa na serikali ipi hii hii ya ccm?
 
Bendera ya Tanzania iongezwe rangi nyingine maana hii nyeusi inawabagua watu hawa...wahindi,waarab nao wawe na utamburisho rasmi kwenye tunu na bendera ya Taifa.
Wewe mwenyewe ukifuatiliwa sana tunaweza kukuta siyo mtanzania wazazi wako waliamia kwa mweusi siyo kigezo.
 
Kinachoniuma ni pale ambapo hata mambo ya kipuuzi kupata watu wa kuyatetea.
 
Hivi wale wazungu na wachina waliopewa ubalozi wa hisani mbona hamuwasemi? au macho yenu yana makengeza vingine mnaona vingine hamuoni?

Uko sahihi.Ubalozi mtu hapewi tu kwa kuwa ana vyeti vya elimu ya kibalozi tu unaangaliwa pia unaweza saidia nchi au wananchi kivipi.Waulize wafanya biashara wengi kuhusu huyu mtu.Kawainua kibao.Wengine CHINA walikuwa hawajui hata wanaanzia wapi kufanya biashara au kusafirisha biashara zao kawasaidia.

Mlitaka balozi wa kuhhuria dhifa za kitaifa kwenda kula pilau tu ikulu?

Ushauri wangu hata kwa DIASPORA hebu tafuteni kikubwa cha kuifanyia nchi yenu kama huyu ambaye ni kiunganishi kikubwa cha biashara na wafanyabiashara wa tanzania na china.Mkifanya nina uhakika siku zijazo hakutakuwa na haja ya kupeleka mabalozi toka dar es salaam.Mabalozi watapatikana huko huko diaspora waliko.
 
Hiyo skendo imethibitishwa wapi?

Tukiishi kwakuhukumu watu kwa skendo tu itakuwaje ktk jamii?

Tusiruhusu wivu...chuki...husda na vijiba vya roho vitawale nafsi zetu acheni kijana achape kazi anastahili...

Huna haja ya kubisha vitu vyenye ukweli. Fuatilia issue za kutoa makontena pale bandarini ma sakata la kampuni yap. Bifu na TRA umesahau au umejiunga leo JF?
 
Back
Top Bottom