L Lord Sauron JF-Expert Member Joined May 4, 2017 Posts 224 Reaction score 170 Dec 27, 2017 #21 Mkuu Sky huyo bosi wizarani ofisi haina AC? Anyway. Kuna utafit mpya unaonesha kuwa gases za huo mpumuo zinapunguza stress kwa anayezinusa!
Mkuu Sky huyo bosi wizarani ofisi haina AC? Anyway. Kuna utafit mpya unaonesha kuwa gases za huo mpumuo zinapunguza stress kwa anayezinusa!
M mjambaji Senior Member Joined Mar 4, 2015 Posts 174 Reaction score 98 Dec 27, 2017 #22 Duh! kumbe ulikuwa ni wewe!? Samahani sana kama nilikukwaza kwa harufu mbaya mrembo Sky. Next time hata kama sekretari amekuruhusu unione unatakiwa ugonge kwanza mlango na kusubiri nikuruhusu uingie ndani sawa bibie?
Duh! kumbe ulikuwa ni wewe!? Samahani sana kama nilikukwaza kwa harufu mbaya mrembo Sky. Next time hata kama sekretari amekuruhusu unione unatakiwa ugonge kwanza mlango na kusubiri nikuruhusu uingie ndani sawa bibie?
M mjambaji Senior Member Joined Mar 4, 2015 Posts 174 Reaction score 98 Dec 27, 2017 #23 Lord Sauron said: Mkuu Sky huyo bosi wizarani ofisi haina AC? Anyway. Kuna utafit mpya unaonesha kuwa gases za huo mpumuo zinapunguza stress kwa anayezinusa! Click to expand... Ofisi yangu ina AC lkn kwa sasa ina tatizo kidogo la kiufundi.
Lord Sauron said: Mkuu Sky huyo bosi wizarani ofisi haina AC? Anyway. Kuna utafit mpya unaonesha kuwa gases za huo mpumuo zinapunguza stress kwa anayezinusa! Click to expand... Ofisi yangu ina AC lkn kwa sasa ina tatizo kidogo la kiufundi.
M mjambaji Senior Member Joined Mar 4, 2015 Posts 174 Reaction score 98 Dec 27, 2017 #24 kichaa msafi said: wachina mwenzao akijamba wanampigia makofi Click to expand... Sio kweli, nshaishi na wachina na sijawahi kupigiwa makofi.
kichaa msafi said: wachina mwenzao akijamba wanampigia makofi Click to expand... Sio kweli, nshaishi na wachina na sijawahi kupigiwa makofi.
Zuleykha JF-Expert Member Joined May 20, 2016 Posts 1,456 Reaction score 2,176 Dec 27, 2017 #25 Sky Eclat said: Afadhali angepumulia chooni Click to expand... haikuwa hiari yake jamani
PROF NDUMILAKUWILI JF-Expert Member Joined Mar 25, 2016 Posts 10,516 Reaction score 13,270 Dec 27, 2017 #26 noma sana
itara JF-Expert Member Joined Aug 10, 2013 Posts 2,240 Reaction score 1,576 Dec 27, 2017 #27 kuna sprayer nzuri tu, ukipumua unaipulizia halafu unakuna pua huku ukivuta hewa kama aliyekula pipi kali
kuna sprayer nzuri tu, ukipumua unaipulizia halafu unakuna pua huku ukivuta hewa kama aliyekula pipi kali
Guantanamo Sobibor JF-Expert Member Joined Aug 20, 2017 Posts 897 Reaction score 1,133 Dec 27, 2017 #28 Umejitahidi kutunga story