Boss ananiumiza kichwa

Boss ananiumiza kichwa

God'sBeliever

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2015
Posts
5,788
Reaction score
3,062
Niko katika ofisi moja hapa mjini napita tempo na boss wa hii kampuni ni mwanamke.
Huyu mwaname ananitega sana siku nyingi na wiki iliopita alinipa ofa ya lunch hotel flan hivi ya hadhi ya juu kabisa hapa Tanzania.
Kwa furaha na uroho wangu nikasema hii ofa ntaitumua vyema maana sijawahi kusa hizi hoteli za wakubwa.

Baada ya kufata oda yangu kama nlivyoelekezwa waiter alinisihi nikae sehemu flani basi na mimi nikaenda hapo kama alivyonisihi.
Baasa ya dk tatu mama wa watu akaja huku kavalia vazi flani ivi jeupe jepesi linaonyesha mwili wake ulivyo.

Hapa nilihisi kitu maana yule waiter nae aliniambia nikakae hapo na yaonekana kabisa uyu mama alipanga mda.
Akaja akaanza kunisifu uchapaji wangu kazi na akasema atanipa ajira ya kudumu kama nitazidisha jitihada zaidi.
Tukapiga stori huku nikiendelea kumtizana machoni na the way alivyokaa kihasara nikajua huyu anahitaji ukuni.

Basi nikamwomba niondoke na akasema nawahi wapi? nkamwambia majukumu tuu ya geto basi kwa kuwa alikua keshatimiza lengo lake mimi nilimwelewa na hatuku bishana ila huyu mama alijua kafikisha ujumbe so next time ni mgegedo tuu pia kiutu uzima naona aliona ni fresh nijiandae kiakili ili niwe tayari kumpa haki yake.

Huyu mama alinipigia jion akaniambia hali anayokumbana nayo kama mama toka baba aondoke (mumewe) nikamwelewa. Tuliongea mengi sana hadi sa 6 ya usiku. Huyu mama ni singo lady hana mume, waliachana toka 2001 so yupo tuu free. Na yuko vizuri ana miaka 41 lakini ukimwona utazani ana 30, figure yake matata sana na hana hata kovu.

Mimi nishapanga lazima tuu nimgegede na niwe mpenzi wake wa kudumu, vimichepuko vyangu vingine nivistop na nibaki na yeye kama alivyonisi niwe mwaminifu na msiri, kasema kapoteza watu kibao aliosoma na kufanya nao kazi kutokana na ngoma na hii ndio sababu ya yeye kukataa mwanaume na kubaki kulea wanawe.

Ana watoto wawili wa kwanza wa kiume na tumelingana umri hata advance tulisoma pamoja na ni washkaji kinomanoma.
Wapili ni mdada huyu bado yupo form 4 mwanza.

Kitu ambacho kinaninyima amani ni huyu chalii nilipiga nae skuli moja! yani sisi ni washkaji mno na jamaa alikua akisisaidia mkwanja siku nikiwa empty.
Nawaza ntakavyomvua ngo mama yake hadi naogopa.
Sio kwamba naogopa kumvua mama yake nguo NO! huyu boy atuu ndo ananiumiza kichwa.

Na nilivyo mroho kweli napatwa na wakati mgumu sana.
Halafu huyu mschana wake nilikua nampango wa kumtokea.
Ila kwa sababu nilikua sijamwambia chochote hamna shida nampotezea kwa kuwa mama yake yuko bomba zaid basi namchukua mama yake.
 
Ajira karibu sana zitoke, mama alikuwa anahakiki wale maghosts sasa tiyari kishawaweka kwa kaburi yao. Usjiingize mu shimo kichwa kichwa halaf ajira zitoke wakati umesha ukwaa.
Aibu iliyoje kukaushwa na limama umri wa mamako?? Unatia huzuni kweli kweli
 
Niko katika ofisi moja hapa mjini napita tempo na boss wa hii kampuni ni mwanamke.
Huyu mwaname ananitega sana siku nyingi na wiki iliopita alinipa ofa ya lunch hotel flan hivi ya hadhi ya juu kabisa hapa Tanzania.
Kwa furaha na uroho wangu nikasema hii ofa ntaitumua vyema maana sijawahi kusa hizi hoteli za wakubwa.
Baada ya kufata oda yangu kama nlivyoelekezwa waiter alinisihi nikae sehemu flani basi na mimi nikaenda hapo kama alivyonisihi.
Baasa ya dk tatu mama wa watu akaja huku kavalia vazi flani ivi jeupe jepesi linaonyesha mwili wake ulivyo.
Hapa nilihisi kitu maana yule waiter nae aliniambia nikakae hapo na yaonekana kabisa uyu mama alipanga mda.
Akaja akaanza kunisifu uchapaji wangu kazi na akasema atanipa ajira ya kudumu kama nitazidisha jitihada zaidi.
Tukapiga stori huku nikiendelea kumtizana machoni na the way alivyokaa kihasara nikajua huyu anahitaji ukuni.
Basi nikamwomba niondoke na akasema nawahi wapi? nkamwambia majukumu tuu ya geto basi kwa kuwa alikua keshatimiza lengo lake mimi nilimwelewa na hatuku bishana ila huyu mama alijua kafikisha ujumbe so next time ni mgegedo tuu pia kiutu uzima naona aliona ni fresh nijiandae kiakili ili niwe tayari kumpa haki yake.
Huyu mama alinipigia jion akaniambia hali anayokumbana nayo kama mama toka baba aondoke (mumewe) nikamwelewa. Tuliongea mengi sana hadi sa 6 ya usiku.
Huyu mama ni singo lady hana mume, waliachana toka 2001 so yupo tuu free.
Na yuko vizuri ana miaka 41 lakini ukimwona utazani ana 30, figure yake matata sana na hana hata kovu.
Mimi nishapanga lazima tuu nimgegede na niwe mpenzi wake wa kudumu, vimichepuko vyangu vingine nivistop na nibaki na yeye kama alivyonisi niwe mwaminifu na msiri, kasema kapoteza watu kibao aliosoma na kufanya nao kazi kutokana na ngoma na hii ndio sababu ya yeye kukataa mwanaume na kubaki kulea wanawe.
Ana watoto wawili wa kwanza wa kiume na tumelingana umri hata advance tulisoma pamoja na ni washkaji kinomanoma.
Wapili ni mdada huyu bado yupo form 4 mwanza.

Kitu ambacho kinaninyima amani ni huyu chalii nilipiga nae skuli moja! yani sisi ni washkaji mno na jamaa alikua akisisaidia mkwanja siku nikiwa empty.
Nawaza ntakavyomvua ngo mama yake hadi naogopa.
Sio kwamba naogopa kumvua mama yake nguo NO! huyu boy atuu ndo ananiumiza kichwa.
Na nilivyo mroho kweli napatwa na wakati mgumu sana.
Halafu huyu mschana wake nilikua nampango wa kumtokea.
Ila kwa sababu nilikua sijamwambia chochote hamna shida nampotezea kwa kuwa mama yake yuko bomba zaid basi namchukua mama yake.
Kwani huyo mama hasomi jamii forum? Akikutana na huu uzi si atakuona wewe ni mbea na hivyo kukutimua kibarua!!
 
Na nilivyo mroho kweli napatwa na wakati mgumu sana!.
Halafu huyu mschana wake nilikua nampango wa kumtokea.
Ila kwa sababu nilikua sijamwambia chochote hamna shida nampotezea kwa kuwa mama yake yuko bomba zaid basi namchukua mama yake.
 
Piga kazi kipato kiongezeke wewe hila usiloweke tu kwa kupiga kavu
 
Vijana wa kileo hamna siri,mtu amekwambia iwe siri,wewe unakuja kuiambia dunia hapa,hivi unadhan huyo mama hawez kupita hapa?jambo dogo km hili umeshindwa kabisa kuliweka moyoni,duuuh
 
1475247707375.jpg
 
Wadogo zetu mnapenda dezo sana, duniani hakuna vya bure; Wazungu wanasema, there is no free lunch, Waswahili nasi tunasema, bure aghali. Naona unajitahidi kutetea fikra zako na unataka tukusaidie kuhalalisha huo uamuzi lkn kumbuka majuto ni mjukuu, hatuwezi kukufunga kamba ili usitekeleze nia yako ovu.

Vv
 
Back
Top Bottom