Boss ananiumiza kichwa

Boss ananiumiza kichwa

Ingekuwa kweli ningekwambia ma sugar many wengi wana ngwengwe ,Kwa kuwa ni story umefunga vizur!!!
 
Wale wale. Sio kila unalokumbana nalo ni lakuhadithia watu.
 
Acha uchoyo mkuu. Mpe hyo k2 mama wa watu cz Amevumilia sana. Pia n Bahat kupata hlo Tunda mkuu
 
Acha uchoyo mkuu. Mpe hyo k2 mama wa watu cz Amevumilia sana. Pia n Bahat kupata hlo Tunda mkuu
Sawa ila mwanae ananiweka katika wakati mgumu coz siwezi mnanihino mama yake, hii ngumu kumeza ila kama mamaye kaamua kumpa rafiki yake kitu roho inapenda sioni kama kuna ubaya.
Ila response atakayokuja kuionyesha mwaname baada ya kujua nammega mama yake itakua mbaya sana au hataniamini tena.
 
Simuuliz yako nzur sana mkuu kwahyo haata hyo tempo umepata kwa sababu ya mshkaj si ndio maana yake.
 
Kuna siku umenipa mahubiri hapa ooh mwanamke kutembea na mwanaume umri wa baba ni Vibaya lelele kelele miiingi shwain.....
 
Kuna siku umenipa mahubiri hapa ooh mwanamke kutembea na mwanaume umri wa baba ni Vibaya lelele kelele miiingi shwain.....
Hakuonekana na binti, hakuwahi kuiasi dini, alirudisha waliopotea na akawapa tiba mbadala lakini alikufa kwa ngoma. Jawa watoto hawa hawaeleweki hawa. Utaskia kesho akihubiriwa kabadilika. Ila mwisho wa siku sisi wanaume ni kama tumezaliwa na baba mmoja.
 
Hakuonekana na binti, hakuwahi kuiasi dini, alirudisha waliopotea na akawapa tiba mbadala lakini alikufa kwa ngoma. Jawa watoto hawa hawaeleweki hawa. Utaskia kesho akihubiriwa kabadilika. Ila mwisho wa siku sisi wanaume ni kama tumezaliwa na baba mmoja.
Ungekasoma kalivokua kanajifanya ka mtakatifu juma teh
 
Niko katika ofisi moja hapa mjini napita tempo na boss wa hii kampuni ni mwanamke.
Huyu mwaname ananitega sana siku nyingi na wiki iliopita alinipa ofa ya lunch hotel flan hivi ya hadhi ya juu kabisa hapa Tanzania.
Kwa furaha na uroho wangu nikasema hii ofa ntaitumua vyema maana sijawahi kusa hizi hoteli za wakubwa.

Baada ya kufata oda yangu kama nlivyoelekezwa waiter alinisihi nikae sehemu flani basi na mimi nikaenda hapo kama alivyonisihi.
Baasa ya dk tatu mama wa watu akaja huku kavalia vazi flani ivi jeupe jepesi linaonyesha mwili wake ulivyo.

Hapa nilihisi kitu maana yule waiter nae aliniambia nikakae hapo na yaonekana kabisa uyu mama alipanga mda.
Akaja akaanza kunisifu uchapaji wangu kazi na akasema atanipa ajira ya kudumu kama nitazidisha jitihada zaidi.
Tukapiga stori huku nikiendelea kumtizana machoni na the way alivyokaa kihasara nikajua huyu anahitaji ukuni.

Basi nikamwomba niondoke na akasema nawahi wapi? nkamwambia majukumu tuu ya geto basi kwa kuwa alikua keshatimiza lengo lake mimi nilimwelewa na hatuku bishana ila huyu mama alijua kafikisha ujumbe so next time ni mgegedo tuu pia kiutu uzima naona aliona ni fresh nijiandae kiakili ili niwe tayari kumpa haki yake.

Huyu mama alinipigia jion akaniambia hali anayokumbana nayo kama mama toka baba aondoke (mumewe) nikamwelewa. Tuliongea mengi sana hadi sa 6 ya usiku. Huyu mama ni singo lady hana mume, waliachana toka 2001 so yupo tuu free. Na yuko vizuri ana miaka 41 lakini ukimwona utazani ana 30, figure yake matata sana na hana hata kovu.

Mimi nishapanga lazima tuu nimgegede na niwe mpenzi wake wa kudumu, vimichepuko vyangu vingine nivistop na nibaki na yeye kama alivyonisi niwe mwaminifu na msiri, kasema kapoteza watu kibao aliosoma na kufanya nao kazi kutokana na ngoma na hii ndio sababu ya yeye kukataa mwanaume na kubaki kulea wanawe.

Ana watoto wawili wa kwanza wa kiume na tumelingana umri hata advance tulisoma pamoja na ni washkaji kinomanoma.
Wapili ni mdada huyu bado yupo form 4 mwanza.

Kitu ambacho kinaninyima amani ni huyu chalii nilipiga nae skuli moja! yani sisi ni washkaji mno na jamaa alikua akisisaidia mkwanja siku nikiwa empty.
Nawaza ntakavyomvua ngo mama yake hadi naogopa.
Sio kwamba naogopa kumvua mama yake nguo NO! huyu boy atuu ndo ananiumiza kichwa.

Na nilivyo mroho kweli napatwa na wakati mgumu sana.
Halafu huyu mschana wake nilikua nampango wa kumtokea.
Ila kwa sababu nilikua sijamwambia chochote hamna shida nampotezea kwa kuwa mama yake yuko bomba zaid basi namchukua mama yake.


yeah ila jipange maaana nyege za watu wazima balaa sana aiseee,,,,,jiandae kusugua usiku mzima
 
Back
Top Bottom