Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
mimi ni secretary boss wangu ni mzee sana anajiheshimu sana sana ana miaka 55 hivi
kila nikiwa period anajua ,ananiuliza inabidi tu nikubali
naona aibu sana mwanaume anajua nipo period nifanyeje jamani ,na kwanini ananiulizaga?
nitamuulizaje mzee ana heshima zake huyu ohooHayo maswali ulipaswa umuulize huyo bosi wako maana ndiye anayefahamu mambo yako ya sirini....!!!
naona kama anataka kunijua sana me sipendi bwanaHuyo sawa sawa na baba yako mzazi, si vibaya akikujua
nitakula wapi?acha kazi.
ingekuwa harufu kila mtu angejua? zikikaribia ndo huwa anaanza kuniuliza kama ameshika tarehe vileUsikute unatoaga harufu baba wa watu anaisikia
ASINGEKUULIZA KUHUSIANA NA HIYO HALInitamuulizaje mzee ana heshima zake huyu ohoo
niPM cv zako utafanya kazi kwenye ofisi yangu.nitakula wapi?
siwezi kummind ananisaidia mambo mengi sana huyu mzee .Inawezekana anakuona kama binti yake, kuwa tu mwangalifu weka mipaka katika uhusiano, vingine akikuuliza unambadilikia usoni na unamuuliza anamaanisha nini?
unaongea tu mkuu unadhani ningeuliza hapa?unapenda na wewe kuulizwa au unajirahisisha, asingediriki kukuuliza huo upuuzi kama ungekuwa hujirahisi