THEGENTLEMAN1996
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 518
- 590
Mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku Mwanza. Sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini. Sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu, kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama sikuwepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu. Wakifanyana wanapigana picha za uchi na baadae bosi ananionesha tu.
Sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu?
Sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu?