Bosi wangu anamla mke wa mjomba wangu live!

THEGENTLEMAN1996

JF-Expert Member
May 13, 2017
518
590
Mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku Mwanza. Sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini. Sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu, kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama sikuwepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu. Wakifanyana wanapigana picha za uchi na baadae bosi ananionesha tu.

Sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu?
 
Huyo sio mjomba ako umesingiziwa...!!

Ngono maofisini zimeshamiri now dayz...!! Nashindwa pata jibu shida iko wapi..?
 
mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku MWANZA.
sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini.
sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu,kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama kusikuepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu.
wakifanyana wanapigana picha za UCHI na baadae bosi anaionesha tu.
sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu ,?
mtafune na wewe kwa kuwa kama ni Uchi wake Umeshaujua tu hakuna siri Tena
 
Mmh, we mwambie mjomba wako alafu kibao kijekugeka kwako na kibarua kitaota nyasi ushangae ! Mapenzi ni ya ajabu sana utasingiziwa mengne buree
 
Achana nae tu. Ukisikia umbea ndio huo, then kama wewe mwanaume haipendezi kuwa na tabia za wanawake, Sisi tunakulagaaaaa.
 
mimi nimeajiriwa kwenye kampuni moja huku MWANZA.
sasa bosi wangu huwa anakuja na mademu wengi wengi tu hapa ofisini.
sasa siku hizi anamgegeda mke wa mjomba wangu,kila siku mke wa mjomba anapokuja mimi najificha kama kusikuepo na hajui kama mimi najua jambo analofanya na bosi wangu.
wakifanyana wanapigana picha za UCHI na baadae bosi anaionesha tu.
sasa je nimkataze mke wa anko aache hiyo tabia au nilinde kazi yangu ,?
Sasa naona unataka kukosa Kazi , shukuru umepata mjomba mdogo ambaye ndo tajhirii wako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom