Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,957
Paka wa ulaya huwa hawakamati panya wanawachezea lakini kuwala hawawali panya kabisa paka wa huku ni paka wa show tu.Huyu hata panya apite karibu namna gani hawezi kumkamata kamwe!