Bosi wa TAKUKURU afikisha kesi 6 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bosi wa TAKUKURU afikisha kesi 6

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Kankwale, Jul 23, 2012.

 1. Kankwale

  Kankwale Senior Member

  #1
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Dr.Hosea amesema eti amefungua kesi 6 kwa miezi 6 iliyopita.na atafungua ofisi kwenye kata.ataweza?soure itv
   
 2. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Ofice kwenye kata gani?
   
 3. Kibwebwe

  Kibwebwe JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2012
  Joined: Jun 26, 2012
  Messages: 797
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45
  Hii habari ipo ki itv zaidi
   
 4. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Kwakuwa tayari hizo kesi zipo mahakamani nasema hakuna kujadili humu.
   
 5. m

  mzawahalisi JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2012
  Joined: Jan 11, 2010
  Messages: 744
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Kwanza mbona sijawahi sikia kigogo wa takukuru akamatwa kwa tuhuma za rushwa ilihali tunajua wao wanafuatia polisi kwa Rushwa?
   
 6. mgodi

  mgodi JF-Expert Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,309
  Likes Received: 974
  Trophy Points: 280
  siyo vizuri kuzitaja hizo kesi, maana zipo mahakamani. itakuwa ni kuingilia mwenendo wa kesi.
   
 7. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #7
  Jul 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,932
  Trophy Points: 280
  Hicho ndicho kipindi kinachokera zaidi ITV. Huyo Semunyu akajifunze kwa mtangazaji wa BBC - The Hard Talk.
   
Loading...