dolevaby
JF-Expert Member
- Aug 25, 2013
- 12,955
- 9,534
mtakatifu anayo majibu kuhusu swali hiliHii biashara ni ngumu sana
Sijui kama tuta tusua kiukweli
mtakatifu anayo majibu kuhusu swali hiliHii biashara ni ngumu sana
Sijui kama tuta tusua kiukweli
Post number 20 ndio my final draft ya maoni yangu juu yake. Network ilisumbua nikajikuta na post kabla ya kufanya uhariri wa mwisho. Nadhani nguvu kubwa ungezielekeza kwa mdau Bak maana anaamini yeye yuko sahihi siku zote na chochote nje ya anachokiamini na kuelewa ni upumbavu na uozo. Inability to debate opposite opinions. Mtazamo....Mkuu hata sisi tunachangia kwa misingi ya kitaalamu.
Kama hauna majibu toa maoni yako tutayaheshimu ila usitumie majibu mepesi kudai hoja ya mtu ni pointless.
Dadeki, leo umeongea MOTOCHINI . Kumbe ukweli huwa mnaujua. Hizi pesa tulizonunulia ndege, tungeziingiza kwenye irrigation schemes za horticulture and paddy +clustered agro-processing industries baada ya mwaka mmoja tungefanya exports ya kufa mtu nje ya Afrika na ndani ya bara la Afrika. Ila ndio hivyo maamuzi bila mipango ni zigo la misumari tu.Hii biashara ni ngumu sana
Sijui kama tuta tusua kiukweli
Hivi ni sh ngapi?Dadeki, leo umeongea MOTOCHINI . Kumbe ukweli huwa mnaujua. Hizi pesa tuluzonunulia ndege, tungeziingiza kwenye irritation schemes za horticulture and paddy +clustred agro-processing industries baada ya mwaka mmoja tungefanya exports ya kufa mtu nje ya Afrika na ndani ya bara la Afrika. Ila
Air Tanzania inafanya vizuri kwenye soko la ndani kwa sababu Tanzania ni kubwa sana, sasa Rwanda ni nchi ndogo sana, kwahiyo hawana route za ndani sababu ya udogo wa nchi yao hivyo wanategemea route za nje ambazo ni changamoto kwa mashirika mengi ya ndege.Waje wachukue uzoefu kwetu. Miezi 6 zaidi ya Billioni 9 kama faida.
Je soko, huduma kwa wateja na maadili ya kitaaluma wanayo mpaka watengeneze faida katika robo ya kwanza?! Zingatia pia that was a dead airline, it was like starting from scratch!Kwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?
Kabla ya ile midege kuja kulifanyika layoff kubwa sana ya wafanyakazi.
Ile midege hawajakopa hata wawe na interest expense kwenye balance sheet yao.
wasitengeneze profit kwa gharama zipi walizonazo?
Kuna furushi la matatizo umelikusanya kila mada mkuu unalitua hata kama halina uhusiano na mada husika.Utawasikia wapi na wewe umetia pamba masikioni! hata kauli ya kwamba katika pesa za maendeleo 2016/2017 trilioni 11 na kutoa triliooni tatu pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuongeza mishahara zaidi ya mwaka sasa pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuajiri Watanzania maelfu wakiwemo walimu pia hujasikia lakini bado unakuja hapa kuandika pumba zako zisizikuwa na kichwa wala miguu. Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuwa na mapunguani kama wewe. Nyie ndiyo mnawapa kibri hawa wahuni na mafisadi waendelee kuiangamiza nchi yetu.
Sijui wanawapa nini hasa hadi mkubali kuisaliti Tanzania na Watanzania kiasi hiki ili kutetea UOZO.
Sikubaliani na hoja zako.Je soko, huduma kwa wateja na maadili ya kitaaluma wanayo mpaka watengeneze faida katika robo ya kwanza?! Zingatia pia that was a dead airline, it was like starting from scratch!
Sikubaliani na hoja zako.
Soko ni lile lile,route pekee ambayo walikua nayo zamani ambayo sinahakika kama wameanza kwenda ni south africa.
Zingine zote tena plus comoro ni za humu humu,tena wamekuta na route ya mbeya
Huduma kwa wateja na maadili ya kitaaluma haviongezi wala kupunguza faida,vinasustain faida.
Dadeki, leo umeongea MOTOCHINI . Kumbe ukweli huwa mnaujua. Hizi pesa tulizonunulia ndege, tungeziingiza kwenye irrigation schemes za horticulture and paddy +clustered agro-processing industries baada ya mwaka mmoja tungefanya exports ya kufa mtu nje ya Afrika na ndani ya bara la Afrika. Ila ndio hivyo maamuzi bila mipango ni zigo la misumari tu.
Vyeti vyenyewe feki tutegemee nn zaidi ya ubashite bashite tuUtawasikia wapi na wewe umetia pamba masikioni! hata kauli ya kwamba katika pesa za maendeleo 2016/2017 trilioni 11 na kutoa triliooni tatu pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuongeza mishahara zaidi ya mwaka sasa pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuajiri Watanzania maelfu wakiwemo walimu pia hujasikia lakini bado unakuja hapa kuandika pumba zako zisizikuwa na kichwa wala miguu. Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuwa na mapunguani kama wewe. Nyie ndiyo mnawapa kibri hawa wahuni na mafisadi waendelee kuiangamiza nchi yetu.
Sijui wanawapa nini hasa hadi mkubali kuisaliti Tanzania na Watanzania kiasi hiki ili kutetea UOZO.
Ok mfanya biashara, WAMEPEWA!! NimekuelewaWewe unaonekana hujui lolote juu ya biashara. Hawa watu wamepewa ndege zisizo na terms za madeni.
Gharama za kukodisha ndege huchukua karibia asilimia hamsini ya gharama za uendeshaji.
Hawa hawana gharama hiyo, sanasana wanaingia gharama za mafuta,sababu hata maintenance cost haiwezi kuwa juu leo.
Sasa wanatengenezaje hasara,?
Ingawaje kwa kiasi fulani nakubaliana na reasoning yako, interest expense HAIINGI kwenye balance sheet.Kwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?
Ile midege hawajakopa hata wawe na interest expense kwenye balance sheet yao.?
Hata kama maintenance cost haiwi leo, lazima uweke provision kwenye mahesabu yako ili siku maintenance cost zikiwa due, uwe na uwezo wa kulipa, especially kwa maintenance cost ambazo zinafanyika periodically kwa kipindi kinachozidi zaidi ya mwaka mmoja. Mfano engine zinatakiwa kufanyiwa complete overhaul kila baada ya miaka mitatu kwa $1.5m. So Kila mwaka lazima u charge $500,000 kwenye mahesabu yako.Gharama za kukodisha ndege huchukua karibia asilimia hamsini ya gharama za uendeshaji.
Hawa hawana gharama hiyo, sanasana wanaingia gharama za mafuta,sababu hata maintenance cost haiwezi kuwa juu leo.
Sasa wanatengenezaje hasara,?
Hahaha asante kwa marekebisho mkuu,lengo langu lilikuwa kusema balance sheet yao haina interest rate sensitive items.Ingawaje kwa kiasi fulani nakubaliana na reasoning yako, interest expense HAIINGI kwenye balance sheet.
Hata kama maintenance cost haiwi leo, lazima uweke provision kwenye mahesabu yako ili siku maintenance cost zikiwa due, uwe na uwezo wa kulipa, especially kwa maintenance cost ambazo zinafanyika periodically kwa kipindi kinachozidi zaidi ya mwaka mmoja. Mfano engine zinatakiwa kufanyiwa complete overhaul kila baada ya miaka mitatu kwa $1.5m. So Kila mwaka lazima u charge $500,000 kwenye mahesabu yako.
Si kweli gharama za kukodisha Ndege ni karibu asilimia 50. Gharama za kuendesha airline ni kama ifuatavyo:
Airline Costs - Where the Money Goes
According to reports filed with the Department of Transportation in 1999, airline costs were as follows:
Flying Operations - essentially any cost associated with the operation of aircraft, such as fuel and pilot salaries - 27 percent;
Maintenance - both parts and labor - 13 percent;
Aircraft and Traffic Service - basically the cost of handling passengers, cargo and aircraft on the ground and including such things as the salaries of baggage handlers, dispatchers and airline gate agents - 16 percent;
Promotion/Sales - including advertising, reservations and travel agent commissions - 13 percent;
Passenger Service - mostly in-flight service and including such things as food and flight attendant salaries - 9 percent;
Transport Related - delivery trucks and in-flight sales - 10 percent;
Administrative - 6 percent;
Depreciation/Amortization - equipment and plants - 6 percent.
Labor costs are common to nearly all of those categories. When looked at as a whole, labor accounts for 35 percent of the airlines' operating expenses and 75 percent of controllable costs. Fuel is the airlines' second largest cost (about 10 to 12 percent of total expenses), and travel-agent commissions is third (about 6 percent). Commission costs, as a percent of total costs, have recently been declining, as more sales are now made directly to the customer through electronic commerce. Another rapidly rising cost has been airport landing fees and terminal rents
Reference:
Airline Economics
Hata hivyo, nakubaliana na mtazamo wako kwa ujumla.
Ndio maana nimesema kuwa overall nakubaliana na wewe.Mkuu hata nikikubaliana na wewe kwa kila kitu,bado hakuna sababu ya atcl kutokutengeneza faida.
Mimi nimalizie kwa kusema kwamba,kama ni kweli JPM amenunua ndege zile kwa cash na kuwapa jamaa kwa terms zozote zile,hawakupaswa kupata hasara Q1 ya operation.