Bosi wa Rwandair apigwa chini

Kimla

JF-Expert Member
Jun 8, 2008
3,742
6,433
A Cabinet meeting chaired by President Paul Kagame on Wednesday removed John Mirenge as the chief executive officer of national carrier RwandAir, replacing him with Col Chance Ndagano in an acting capacity.

Mr Mirenge has been at the helm of RwandAir since 2010 and is credited with steering an ambitious expansion plan. His exit came in the week RwandAir made its maiden flight to Mumbai, India, and announced a route to Harare, Zimbabwe.

Col Ndagano is also the board vice chairperson of the Rwanda Civil Aviation Authority (RCAA).

Another military officer, Lt Col. Sylvere Munyaneza was also appointed the airline’s deputy CEO in charge of operations.

Mr Munyaneza replaces Jean Paul Nyirubutama, who was appointed to the airline’s board.

Yvonne Makolo Manzi, who has been the chief marketing officer of MTN Rwanda, was appointed the position of deputy CEO in charge of corporate affairs at RwandAir.

There were no immediate reasons for the removal of the airline's top executives, but reliable sources indicate that mismanagement of resources and failure to contain financial leaks could be behind the sacking.

Mr Mirenge has been credited for expanding the airline from five aircrafts since his appointment to 11 aircraft currently, including two triple class wide-bodied Airbus A330 planes deployed on intercontinental routes. The airline also has three Boeing B737-700 and -800 aircrafts.

The changes come at a time when RwandAir was planning to launch a direct flight to London, Gatwick in May. RwandAir’s maiden flight to Harare arrived on Wednesday, increasing the airline’s routes to Southern Africa to three.

READ: Top African airlines battle for lucrative new routes

While RwandAir has not started making profits yet, there have been reports of financial losses, with a reliable source indicating that an internal probe unearthed missing funds up to the tune of $2 million.

In January 2015, local media reported that employees in the ticketing department had defrauded the airline of millions of francs, leading to heavy losses. Some of the suspects allegedly fled the country while others were arrested.

Mr Mirenge admitted that some individuals were involved in defrauding the airline but said that the stolen amount was less than the $700,000 reported, putting it at $30,000.

The failure to arrest internal financial leaks is blamed on RwandAir's struggle to breakeven after heavy investment in aircraft. President Kagame, who is personally keen on the growth of the airline, is known for not tolerating financial mismanagement.

RwandAir had expected to start making profits by 2018 but the target has been revised following the addition of two new $250 million Airbuses last year.
 
"but reliable sources indicate that mismanagement of resources and failure to contain financial leaks could be behind the sacking. "

While RwandAir has not started making profits yet, there have been reports of financial losses, with a reliable source indicating that an internal probe unearthed missing funds up to the tune of $2 million.
(Sisi kwetu tunalia tunataka FAIDA kwa Miezi minne tu, Du!!! watz tunatabu)
 
Tuko sahihi.

Financing Model ya midege yetu sio kama yao.

Our air ships are bought in cash, and I believe their position in the airline balance sheet is not interest sensitive.
They should have reported handsome profits in their first quarter of operation.
 
Handsome profit in the first quarter, what a joke!! Ni lini zime-break even mpaka uanze kuhesabu profit?
 
Handsome profit in the first quarter, what a joke!! Ni lini zime-break even mpaka uanze kuhesabu profit?
Kwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?

Kabla ya ile midege kuja kulifanyika layoff kubwa sana ya wafanyakazi.

Ile midege hawajakopa hata wawe na interest expense kwenye balance sheet yao.

wasitengeneze profit kwa gharama zipi walizonazo?
 
Sasa wewe unadhani faida inatakiwa ianze kupatikana lini!? Baada ya miaka 10!? Watu hawana pesa kutokana na kuyumba kwa uchumi matokeo yake ndege zinasafiri zikiwa na abiria wachache kwa hali hii hata kwa miaka 20 faida itabaki kuwa ni alinacha tu.

"but reliable sources indicate that mismanagement of resources and failure to contain financial leaks could be behind the sacking. "

While RwandAir has not started making profits yet, there have been reports of financial losses, with a reliable source indicating that an internal probe unearthed missing funds up to the tune of $2 million.
(Sisi kwetu tunalia tunataka FAIDA kwa Miezi minne tu, Du!!! watz tunatabu)
 
Hivi kuweka wanajeshi ndio kudhibiti wizi? Maana Nigeria walipiga hela nyingi sana za kununulia silaha kupambana na bokoH
 
Kwani wana cost burden ipi hata usitegemee handsome profit 1st quarter?

Kabla ya ile midege kuja kulifanyika layoff kubwa sana ya wafanyakazi.

Ile midege hawajakopa hata wawe na interest expense kwenye balance sheet yao.

wasitengeneze profit kwa gharama zipi walizonazo?
Kwani walichukua bure hizo ndege? Hebu acha ubishi, simamia ukweli
 
Sasa wewe unadhani faida inatakiwa ianze kupatikana lini!? Baada ya miaka 10!? Watu hawana pesa kutokana na kuyumba kwa uchumi matokeo yake ndege zinasafiri zikiwa na abiria wachache kwa hali hii hata kwa miaka 20 faida itabaki kuwa ni alinacha tu.
Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.
Planners wa shirika lazima waje na strategies za scenario zote za kibiashara sio case ya wateja wengi tu. Na kama wamepungua kiasi cha ajabu ningeshangaa wao kupata revenue ya 9Bil. Hakuna biashara isiyo na changamoto ila naamini CEO wa atcl ni mtu makini atatuvusha na kurudisha faida kwa wakati....
 
Hakuna biashara isiyokuwa na changamoto lakini usije hapa kuandika upumbavu ili kupindisha ukweli kuhusu hali halisi ya uchumi wa nchi na indicators zote zinaonyesha hivyo lakini wewe mpindishaji ukweli unajaribu kila leo kuandika uongo kuhusu hali halisi ya uchumi nchini.

Kuna habari leo kwamba kikao cha bunge la bajeti kinaweza kusimamishwa kwa ukosefu wa pesa na vipo vishiria mbali mbali vinavyoonyesha hali mbaya ya uchumi nchini.

Hebu kuwa mkweli hata mara moja usimamie maslahi ya nchi badala ya kusimamia maslahi ya wahuni wanaokuweka mjini.

Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.
Planners wa shirika lazima waje na strategies za scenario zote za kibiashara sio case ya wateja wengi tu. Na kama wamepungua kiasi cha ajabu ningeshangaa wao kupata revenue ya 9Bil. Hakuna biashara isiyo na changamoto ila naamini CEO wa atcl ni mtu makini atatuvusha na kurudisha faida kwa wakati....
 
Airline business, its pure science and not an art.
It doesn't have a room for trial and errors! It's wether you know it or you don't and not both.
Therefore, we will keep dragging behind.
 
Yaani jambo usilolijua ni kama usiku wa giza
Wewe unaonekana hujui lolote juu ya biashara. Hawa watu wamepewa ndege zisizo na terms za madeni.

Gharama za kukodisha ndege huchukua karibia asilimia hamsini ya gharama za uendeshaji.

Hawa hawana gharama hiyo, sanasana wanaingia gharama za mafuta,sababu hata maintenance cost haiwezi kuwa juu leo.

Sasa wanatengenezaje hasara,?
 
Faida itapatikana kwa mipango, kuhusu kuyumba kwa uchumi sijui tunaangalia indicator zipi. Kweli pesa mifukoni mwa raia zimepungua kwa sababu ya kuzuia pesa nyingi chafu kwenye mizunguko, pia pesa nyingi kuwekezwa kwenye economic stimulators ambazo ni miradi mikubwa ya infrastructures muda sio mrefu zitatoa matokeo na Hali itakuwa Sawa.
Planners wa shirika lazima waje na strategies za scenario zote za kibiashara sio case ya wateja wengi tu. Na kama wamepungua kiasi cha ajabu ningeshangaa wao kupata revenue ya 9Bil. Hakuna biashara isiyo na changamoto ila naamini CEO wa atcl ni mtu makini atatuvusha na kurudisha faida kwa wakati....
Mipango ipi?

Hili shirika sio geni kiasi cha kusema hawakuwa na mipango ya kibiashara?
 
Utawasikia wapi na wewe umetia pamba masikioni! hata kauli ya kwamba katika pesa za maendeleo 2016/2017 trilioni 11 na kutoa triliooni tatu pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuongeza mishahara zaidi ya mwaka sasa pia hujasikia, hata Serikali kushindwa kuajiri Watanzania maelfu wakiwemo walimu pia hujasikia lakini bado unakuja hapa kuandika pumba zako zisizikuwa na kichwa wala miguu. Ni hasara kubwa sana kwa nchi kuwa na mapunguani kama wewe. Nyie ndiyo mnawapa kibri hawa wahuni na mafisadi waendelee kuiangamiza nchi yetu.

Sijui wanawapa nini hasa hadi mkubali kuisaliti Tanzania na Watanzania kiasi hiki ili kutetea UOZO.

Mkuu mimi siamini ktk utabiri au ubashiri . Bunge limekoswa pesa sijui kwa nini na pande zote mbili mtoa pesa na mpokea pesa sijawasikia. Mara ya mwisho ni report ya world Bank kuhusu economic updates ya Tanzania ndio maneno au idea kama hizo nilizokupa zilisemwa na hii ilikuwa may 2016. Kama Kuna mabadiliko tusubiri report rasmi ya Tanzania economic updates kutoka world Bank au kwa wataalamu. Punguza umakini kwenye habari zisizo rasmi, kwa nini asubuhi hadi jioni siku Saba za wiki siku 366 za mwaka unasisitiza na kuwa na hamasa za kuona mambo hayaendi hata kama huna taarifa rasmi. Hizo indicators watatueleza wataalamu sio kupinga with pointless

Shirika sio gani ila linaendeshwa kwa utaratibu Mgeni na ndege ngeni na mipango tofauti. Expect the best...
 
Mkuu mimi siamini ktk utabiri au ubashiri . Bunge limekoswa pesa sijui kwa nini na pande zote mbili mtoa pesa na mpokea pesa sijawasikia. Mara ya mwisho ni report ya world Bank kuhusu economic updates ya Tanzania ndio maneno au idea kama hizo nilizokupa zilisemwa na hii ilikuwa may 2016. Kama Kuna mabadiliko tusubiri report rasmi ya Tanzania economic updates kutoka world Bank au kwa wataalamu. Punguza umakini kwenye habari zisizo rasmi, kwa nini asubuhi hadi jioni siku Saba za wiki siku 366 za mwaka unasisitiza na kuwa na hamasa za kuona mambo hayaendi hata kama huna taarifa rasmi. Hakuna uchumi au Mipango ambayo haipitii katikati ya changamoto tanzania sio nchi ya kwanza,

Shirika sio gani ila linaendeshwa kwa utaratibu Mgeni na ndege ngeni na mipango tofauti. Expect the best...

Mkuu hata sisi tunachangia kwa misingi ya kitaalamu.

Kama hauna majibu toa maoni yako tutayaheshimu ila usitumie majibu mepesi kudai hoja ya mtu ni pointless.
 
Back
Top Bottom