Bosi mpya vodacom


C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Messages
4,784
Likes
1,344
Points
280
C.T.U

C.T.U

JF-Expert Member
Joined Jun 1, 2011
4,784 1,344 280
Vodacom wamepata bosi mpya ambaye anaelekea hataki mchezo na anaonekana he is smart sio kama yule kilaza aliyepita
 
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2011
Messages
3,831
Likes
798
Points
280
K

Kidzude

JF-Expert Member
Joined Jul 14, 2011
3,831 798 280
Vodacom wamepata bosi mpya ambaye anaelekea hataki mchezo na anaonekana he is smart sio kama yule kilaza aliyepita
asante lakini wewe ni nani mpaka umuite bosi wa kampuni ni kilaza
 
kanyasu

kanyasu

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2009
Messages
235
Likes
1
Points
0
kanyasu

kanyasu

JF-Expert Member
Joined Feb 9, 2009
235 1 0
kwanza unaonesha hujui hata kutoa taarifa,bosi mpya nani?
 
Kibukuasili

Kibukuasili

JF-Expert Member
Joined
May 15, 2010
Messages
861
Likes
12
Points
35
Kibukuasili

Kibukuasili

JF-Expert Member
Joined May 15, 2010
861 12 35
kilaza kwa vipi ndugu
 
Cestus

Cestus

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Messages
1,000
Likes
5
Points
0
Cestus

Cestus

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2011
1,000 5 0
And we needed to know because.....?
 
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,107
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,107 280
anaonekana hataki mchezo kwa lipi???
 
Najijua

Najijua

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2010
Messages
1,032
Likes
15
Points
135
Najijua

Najijua

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2010
1,032 15 135
huyo amezoea mchezo kwenye kazi ndio wanaotufanya tuonekane hatufanyi wa TZ na viongozin wetu wanatuponda hadharani, teeeeh teeeeeh weka sura yake baaasssii
 
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2009
Messages
14,603
Likes
3,774
Points
280
BONGOLALA

BONGOLALA

JF-Expert Member
Joined Sep 14, 2009
14,603 3,774 280
Walipe kodi kwanza vodacom wezi wa uchumi wetu
 
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined
Aug 17, 2010
Messages
13,129
Likes
263
Points
160
Dena Amsi

Dena Amsi

R I P
Joined Aug 17, 2010
13,129 263 160
Taarifa haijakamilika ipo nusu nusu
 
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2008
Messages
6,865
Likes
290
Points
180
Baba_Enock

Baba_Enock

JF-Expert Member
Joined Aug 21, 2008
6,865 290 180
Wote wawili ni vilaza na waganga njaa tu!
 
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Messages
13,418
Likes
3,471
Points
280
Mzee

Mzee

JF-Expert Member
Joined Feb 2, 2011
13,418 3,471 280
Huyu ametumwa. Bosi wa Voda ananihusu nini mimi Mtanzania wakat kodi hawataki kulipa?. Waanze kulipa kodi kwanza.
 
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,160
Likes
145
Points
160
mchemsho

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,160 145 160
Bosi mpya huh?? Kwani yule wakwanza amefukuzwa? Au kastaafu, ni mzungu au afro,
 

Forum statistics

Threads 1,212,848
Members 461,778
Posts 28,456,439