LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 19,349
- 36,304
[h=5]Jamaa: Boss umeniita.
Boss: Ndo manake. Nenda chooni kapige punyeto. Na kuna kamera, nakuona vizuri kama unapiga au unazuga.
Jamaa akaenda kama baada ya dakika kumi akarudi.
Boss: Nenda kapige tena.
Jamaa akaenda baada ya dakika 20 akarudi.
Jamaa: Tayari mara ya pili boss.
Boss: Nenda kapige mara ya nyingine tena.
Jamaa kwa shingo upande huku kachoka akaenda akapiga tena.
Baada ya dakika 20 akarudi tena.
Jamaa: Boss tayari.
Boss: Vizuri, sasa chukua hizi funguo za gari umpeleke binti yangu nyumbani. Usichelewe kurudi. Waikora weitu.[/h]
CHANZO; MPOKI WAORIJINO KOMEDI