jamaa kaacha kuikosoa serikali sasa anahamia kwenye music dah wakiziba huku wanabuni another alternativeHuo mstari upo kwenye ngoma mpya ya Roma (rhymes of magic attractions),ngoma inaitwa "Kaa tayari".Wadau hizi tuhuma zina ukweli ndani yake?
Hao ndo wanatafuta umaarufu kwa nguvu.Hapana jamaa amechana tu Babu Tale
Ila akumbuke Tip Top Connexion ndio waliomfikisha hapo alipo na kama ukimsoma vizuri Babu Tale anashindwa kutamka kwamba ameshajiondoa TTC.Huo mstari lazma umsumbue Babu Tale maana kilichosemwa ni kweli" Madee kasema bdo wanautafakari huo mstari then wataongea wameuchukuliaje, Fella kasema pia alimwambia Babu Tale kuhusu hilo asijisahau akaisahau TipTop Connection..
Na hii Tuhuma ya Mademu siku hizi wanauza T...,Manzese ,kigogo na Mabibo wote wiggle wiggle ni kweli?Huo mstari upo kwenye ngoma mpya ya Roma (rhymes of magic attractions),ngoma inaitwa "Kaa tayari".Wadau hizi tuhuma zina ukweli ndani yake?
Atamke basi maana TipTop imebaki story tu.. kabaki Madee na dogo Janja 2Ila akumbuke Tip Top Connexion ndio waliomfikisha hapo alipo na kama ukimsoma vizuri Babu Tale anashindwa kutamka kwamba ameshajiondoa TTC.
Wewe kweli kilazaRoma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu
Wewe ushazoe singeli sasa utajuaje mziki wa roma,Roma sio mwanamuziki ni mtafuta umaarufu kunuka tu